Ninapo kuwa nipo home sina kampani, huyu ndiye rafiki wangu wangu wa ukweli siyo Snitch

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
23032775_370372373416706_3324815339407117057_n.jpg
 
Mimi mambo ya mbwa sijui paka siyawezi kwanza nikiingia nyumba ina paka au mbwa halafu aje mguuni namsukumia teke aende hukoo
 
Huyu Mbwa siyo mbwa pori
images

Huyu ni Germany kama unavyo mwana hapo bei yake ni Milion 2+

-Ananisaidia kufunga mlango wa chumbani kama nimeusahau kuufunga na nimelala

-Nimelala nikasahau kuzima taa ananisaidia kuzima

-Nimekaa namtuma akanichukulie sim au kama nimekaa seblen nataka remote ya tv huwa sinyanyuki ananichukulia

-Nimelala sijajifunika kazi yake lazma anifunike

Kazi ndogo ndogo nyingi huwa ananisaidia, leo nimetoka sijatoka nae nimerudi ananinunia
 
Duu kama binadamu vile
 
Mbwa Wa aina hii ni mzuri, kuwa makini usijekununua wale Wa kizungu maana wanafundishwa kutatua malinda, tunakupenda sana jamaa yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom