pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 232
- 257
Wakuu natumai ni wazma kabisa,
Tatizo lililonifanya kuandika uzi huu ni shida ambayo huwa inanitesa sana na sijui tatizo ni nini?
Iko hivi, mashine inapo simama huwa naona kawaida mpaka inakuja kupoa ila tatizo linakuja kwanini kila ninapokutana na demu gheto nikawa naye romantic pasipo kusex huwa baada ya muda kadhaa kama 30 mins korodani huwa zinauma sana?
Muda mwingine unakuta maumivu ni makali kiasi kwamba nashindwa mpaka kutembea, zinakuwa kama mtu kakupiga teke la nguvu kwenye korodani wale ndugu zangu nadhani mnayajua hayo maumivu, sasa ndo napata maumivu haya yanadumu kwa hata lisaa kwa muda mwingne.
Sasa nimekaa muda mrefu bila kukutana na mtu wngu kama 3 month hivi, cha ajabu jana kaja home mashine ilisimama tukawa tu romantic na hatukusex sababu alikuwa period nilishuhudia kwa macho yangu, hivyo hatukusex cha ajabu baadae korodani zikaanza kuuma kama 45mins yaleyale maumivu, sasa sijui tatzo ni nini hapo wakuu naimani humu naweza kupata mchango juu ya shida yangu wakuu.
Thanks all
===

MREJESHO
Jibu nimeshapata wakuu
What is blue balls? Blue balls, known medically as epididymal hypertension (EH), is a condition that can affect people with male genitals. It's not serious, but causes pain and aching in the testicles after having an erectionwithout an orgasm. It's often accompanied by a blueish hue in thetesticles.