Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,066
- 1,047
Hello,
Naomba mnisaidie kufahamu shida itakuwa nini. Mimi ni mpenzi sana wa tunda la nanasi ila kila nnapojaribu kula napata maumivu makali ya tumbo tena tumbo la kukata.
Huwa najaribu kutotumia nanasi kwa muda mrefu ila siku nikijaribu tu basi siku yote imeharibika.
Guys tatizo litakuwa nini? Na dawa yake ni nini?
With thanks,
Judie