Ninaombeni ushauri, kila ninachowaza kujikomboa kiuchumi sifiki mbali

Beige

Senior Member
Dec 7, 2022
162
329
Hi wote,

Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34.

Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck.

Hapa ni saa 9 usiku usingizi umekata nawaza tuu. Sina mtaji, sina chanzo chochote cha kupata hela niweze kufanya biashara.

Hata biashara yenyewe nikiwaza sipati picha kamili ntafanya biashara ipi although napenda sana shughuli za kilimo.

Naomba mnisaidie ushauri na mawazo. Natanguliza shukrani za dhati
 
Anza na hicho kidogo ulichonacho. Usisubiri hadi uwe na pesa nyingi ndio uanzishe jambo unalotaka kufanya. Take it easy. Usiumize kichwa sana kwa mawazo usije kuishia kupata ungonjwa wa shinikizo kubwa la damu.
Asante sana ubarikiwe.
 
Kama unapenda kilimo tafuta mtu
anaelima ushee nae kilimo upunguza risks ya kushindwa
 
Back
Top Bottom