Ninaomba ujibu hesabu yangu, wengi watafeli

Teh hadi chuo nilizichukua chukua.

Usinikumbushe hiyo test moja tupo 2nd year, ile nimeshika pepa nikajikuta natetemeka. Teh muda si mrefu nasikia vilio vya watu + wengine kuzimia huko, chezea digits wewe. Ila God is always good wallah, alinishangaza mno aisee
Hahahaaaa!! Namba sio za mchezo mchezo
 
Namba si mchezo ati! Halafu shuleni kuna kuchuuzana sana kuhusu hesabu. O'level darasa letu lote walisusa kufanya hesabu pamoja ni kuwa ni mandatory tulikuwa mimi na jamaa mmoja katika darasa la 45 students. Halafu mwenzangu akakosea kucopy ratiba. Alikopi ratiba kama hesabu inaanza mchana kumbe ilikuwa asubuhi. Kaamka kenda kujichimbia central library kujiandaa mchana anaona kundi la Wanafunzi linaingia library wakiongea kuhusu mtihani wa hesabu. Akaenda kulalamika walimu walijaribu kumsaidia lakini hakuruhusiwa kufanya mtihani ile hivyo ikala kwake.

Eeh ilikuwaje wakasusa? Haha

Huyo jamaa ako alopitiwa akakosa pepa jamani mweee, si alidata?

Me kwa kweli, kwenye circle yangu hakukuwa na waogopa hesabu kihivyo. Ile primary tulikuwaga na huyo ticha wetu wa tuition alikuwa yupo fit hatareee, alitusaidia sana kusema za kweli na alituwekea msingi mzuri sana wa hesabu. Na majority tuliendelea na hesabu hadi A-level, ingawa ndo kuna muda ilitutia adabu teh
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nadhani ni kuchuuzana, ugumu wa hesabu na ule utundu tu wa shuleni. Utasikia mtu, "hata ukitaka kuwa pilot si lazima uzijue hesabu" na uvivu pia wa kufanya homework. Hesabu ni mazoezi kadri unavyozifanya nyingi ndiyo uelewa wako unazidi kuwa mkubwa wa namna ya kuzifanyia na kama Mwalimu ni mzuri basi unaweza ukapasua vizuri sana. Jamaa yangu sijui nini kilimtokea hadi akachuuzika na kudhani mtihani ulikuwa mchana.

Yani me nahisigi hayo maphysics, bios na chemistry ni magumu kuliko hesabu. Sijui ilikuwaje tu hesabu ikawa ugonjwa wa taifa teh
 
Back
Top Bottom