Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

Sawa mkuu nimekusoma kwa mbaaaali kidogo. Ila umefafanua vizuri sana...
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Magufuli la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Ndugu zangu wa Tanzania;

Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?

Tazama picha hapo chini tafadhali;

View attachment 1542057

Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Magufuli anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
 
Ili kupush thamani yako ya fedha juu inatakiwa uwe na producer wa necessary goods Kama mafuta ni mawazo tu sijapingana na wewe Ila tiger countries Wana viwanda vingi lakin thaman za pesa zao niza kawaida ni kwa sababu bidhaa wanazotengeneza sio necessary na bado zinaushindan ktk soko la Dunia
Mkuu hapa umemaanisha kama vile ni nguvu ya soko ndo inaamua thamani ya fedha katika hizo "tiger economies".

Wakati sio kweli. Hao wa asia wanashusha thamani ya pesa zao makususi ili kufanya bidhaa zao ziwe na bei ndogo wakiuza katika masoko ya nje ya nchi zao.

Maana bidhaa wanazotengeneza nchi nyingi zinaweza kutengeneza kwahiyo ili kumiliki soko inabidi washushe thamani ya pesa zao ili bidhaa zao ziweze kununulika duniani kote.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Ndugu zangu wa Tanzania;

Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?

Tazama picha hapo chini tafadhali;

View attachment 1542057

Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mbona unapanic? hupendi maendeleo anayoleta Rais Magufuli.
 
Exchange rate ni kiasi ambacho fedha moja cdomesic currency) inaweza nunua fedha nyingine(foreign currencies). Tuna Sina kuu mbili za exchange rate, fixed/pegged exchange rate, hii inapangwa na Benki kuu ya nchi husika(central bank) kulingana na mahitaji ya kiuchumi ya nchi husika mfano kuongeza "imports" na kupunguza "exports" na floating/ fluctuating exchange rate, hii inaongozwa na nguvu ya soko" interactions of forces of demand and supply" . Yawezekana central bank ya Kenya imeweka juu pesa yake (currency appreciation) mpaka kukalibiana na Japanese yene kwa sababu zake na sio kwamba chumi zao zinalingana au zimekalibia kulingana.
 
Exchange rate ni kiasi ambacho fedha moja cdomesic currency) inaweza nunua fedha nyingine(foreign currencies)kuna aina kuu mbili za exchange rate, fixed/pegged exchange rate, hii inapangwa na Benki kuu ya nchi husika(central bank) kulingana na mahitaji ya kiuchumi ya nchi husika mfano kuongeza "imports" na kupunguza "exports" na floating/ fluctuating exchange rate, hii inaongozwa na nguvu ya soko" interactions of forces of demand and supply" . Yawezekana central bank ya Kenya imeweka juu pesa yake (currency appreciation) mpaka kukalibiana na Japanese yen kwa sababu zake na sio kwamba chumi zao zinalingana au zimekalibia kulingana.
 
Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika

Pesa zenye thamani dunia ni

USD Dollar
Pound ,etc

Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa

Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan
Pesa yenye thaman zaid duniani ni

KUWAIT DINAR (KWD)... ila pesa yenye nguvu ya matumizi ni United states Dollar (USD)..

NB: Dollar kwasabab inatumika karibia sehem zote duniani...

1KWD=7,500/-tsh

1USD =2,340/- tsh
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.

Ndugu zangu wa Tanzania;

Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?

Tazama picha hapo chini tafadhali;

View attachment 1542057

Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Acheni kuweweseka nyie Wapinzani. Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu.
 
Walichofanya wakenya ni kupunguza sufuri kadhaa katika hela yao,yan hela hiyo unayoiona hapo si thamani yake halisi,ni kama walivyofanya zambia kwenye hela yao(kwacha),hata sisi hapa tunaweza kupunguza zero kadhaa ikasomeka hivi 1$ = 23tsh badala ya 1$=2300tsh
Hiyo hufanywa na nchi nyingi tu ili kuchochea biashara za export na import
 
Back
Top Bottom