Ninaomba msaada wa picha za Mateso ya Watanzania wakati wa Uchaguzi

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,872
1,891
Wanamnchi najua nitakuwa nina warudisha nyuma.Niko Mpanda na kuna issue nashughulika nayo .Naombeni msada wa picha za mateso ya wananchi wakati wa chaguzi mbali mbali Tanzania kuanzia zamani sana Zanzibar hadi amjuzi Kiteto .Mnisamehe kwa hili lakini mnisaidie kuziweka hapa hata kama ni clips za video ama nipeni links nitaenda kuzichota mwenyewe .
Asanteni .
 
sachi kwenye google

Unaweza kukaa kimya wengine wakanisaidia kama unasoma huelewi ninalo sema .Tafadhali akili za kukurupuka si akili ndugu zanguni .Kama huna msaada kaa kimya .Nimeomba for a reason na nimesema niko mpanda slow connection ku search .Ama wewe kila kitu unapinga tu imesha kuwa mazoea ?

Jamani naombeni msaada hata wa link pekee hata toka hapa hapa JK
 
kumbe hutaki msaaada. sasa search kwenye google imekuwa si msaada?

sasa tukikupa link na huko kiteto connection iko slow itakusaidia vipi?
 
Bwana Lunyungu tatizo lako hasira sana...ngoja tuiingie chimbo tukutafutie na tuweke hapa uzione...powa vijana tuingie kazini..
 
Unaweza kukaa kimya wengine wakanisaidia kama unasoma huelewi ninalo sema .Tafadhali akili za kukurupuka si akili ndugu zanguni .Kama huna msaada kaa kimya .Nimeomba for a reason na nimesema niko mpanda slow connection ku search .Ama wewe kila kitu unapinga tu imesha kuwa mazoea ?

Jamani naombeni msaada hata wa link pekee hata toka hapa hapa JK

Haya nimekutumia hii bado nipo jikoni nakutafutia si unataka za vilungu vilungu siyo?? poa usikonde mkuu _999646_police-znz-ap300.jpg
 
_1161383_refugees300.jpg

If the Kenya government cannot protect us from our enemy (Tanzania police force), let them hand us over to them to kill us... but we are not moving to Daadab Somalia ,Pemba MP Bidawa Hamadi.
_1161383_policeman150.jpg

Police brutality on Pemba prompted them to flee.

police_brutality_1.jpg

soldier_with_rocketlauncher.jpg

jamaa eti wanaenda kusimamia uchaguzi.CCM wanatumia nguvu za vyombo vya dola hapo.
[media]http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU[/media]
 
kilimahewa_shootings_1.jpg

Kilimahewa Shootings.
gharib2.jpg

a victim of government sponsored Jan 27, 2001 massacre
 
Zingine hizi hapa:


http://http://images.google.com/imgres?imgurl=http://newsimg.bbc.co.uk/media/images/40966000/jpg/_
40966312_sundayblood416ap.jpg&imgref
url=http://news.bbc.co.uk/1/low/in_pictures/4392802.stm&h=
300&w=416&sz=18&hl=en&start=2&tbnid=LMtpLwRtnEvcwM:&tbnh=
90&tbnw=125&prev=/images%3Fq%3D
Zanzibar%2Bviolence%26gbv%3D2%26hl%3Den

http://http://images.google.com/imgres?imgurl=http://www.zanzinet.org/images/kinuni_april132005.jpg&imgrefurl=http://www.zanzinet.org/events/zanzibar_
violence_april2005.html&h=334&w=450&sz=22&hl=en&start
=3&tbnid=AfguFf3f6ZI6oM:&tbnh=94&tbnw=
127&prev=/images%3Fq%3DZanzibar%2Bviolence%26
gbv%3D2%26hl%3Den
 
Last edited by a moderator:
Wanamnchi najua nitakuwa nina warudisha nyuma.Niko Mpanda na kuna issue nashughulika nayo .Naombeni msada wa picha za mateso ya wananchi wakati wa chaguzi mbali mbali Tanzania kuanzia zamani sana Zanzibar hadi amjuzi Kiteto .Mnisamehe kwa hili lakini mnisaidie kuziweka hapa hata kama ni clips za video ama nipeni links nitaenda kuzichota mwenyewe .
Asanteni .
ingia katika site hii utapata mengi na pia kuna picha za majeshi polisi na majeshi walivyokuwa wakiwabaka kinadada zanziabar wakati ule wakitesa na kuwauwa http://news.bbc.co.uk/1/hi/in_pictures/4392802.stm
 
Lunyungu,
Mkuu itakuwa vizuri sana kama tukielewa unachojaribu kukifanya maanake kesho kesho kutwa tunaweza kuwa nyuma yako kwa lolote na pengine kuna watu wanaweza kukupa mchango zaidi ya hizi picha.
Hakika hizi picha ni nzuri sana kwa kutengeneza documentary inayohusiana na Demokrasia nchi za Kiafrika, ikiwa ni pamoja na kupinga hoja inayoipa Tanzania nafasi ya juu ktk bara letu...
Haya yaliyotokea pekee ni makubwa kama Zimbabwe lakini hayakupewa uzito kwa sababu chama kinachoongoza ni chama kinachopewa support na nchi za magharibi, hasa Marekani.
Binafsi naamini kabisa demokrasia haiwezi kamwe kusimama nchi za kiafrika kwa sababu ya tofauti ya mazingira na kwamba nchi zetu bado zinatawaliwa na wakoloni weusi.
Sijawahi kusikia Kiongozi yeyote Afrika akikubali kushindwa ama kuondolewa madarakani kirahisi kwa kupitia kura.. Lazima atajaribu kila hila kutafuta ushindi hata kama kutumia nguvu ya dola ambayo ni kinyume kabisa cha ilani za Demokrasia.
 
Picha nyingine mbaya sana zilipatikana mwaka 2000 Kariakoo kwenye maandamano ya CUF, watu walikuwa wanapigwa vibaya sana, sijui mfano wa kitu kinachotandikwa hivyo! Televisheni za ITV na DTV wakati huo zilionesha matukio hayo kwa muda mrefu tu, na hata baadae Jenerali Ulimwengu aliwahi kuzitumia katika Talk Show yake ya Jenerali On Monday. Kama una access na hawa watu hebu wasiliana nao wanaweza kukuongezea kutoka katika hazina waliyo nayo.
 
lunyungu

mzee unataka kuchochea chuki kwenye jamii? au ndio mnajiandaa wana CHADEMa kwa kampeni 2010?
 
Unataka za bure, kulipia, low res high res?

Nenda Getty Images, Wireimage, na AP wana stock kubwa ya high quality, hazina watermark na bila kuwasahau BBC nao wanakuwa na pictures...
Lakini kama Mkandara alivyouliza unataka kuzifanyia nini hasa, ndio swali kubwa.
 
Za Kiteto muulizeni Mpaka Kieleweke.

Anazo picha kadhaa ambazo alizipeleka kwenye magazeti wakati huo. Vinginevyo Zitto anaweza kuwa wa msaada hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom