Ninaomba msaada wa kufahamishwa hili zao la hoho mbegu bora mahitaji na soko zuri n kwa wakati upi wa mwaka?

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Wakuu Natumai Mko Poa.
Ninaomba msaada wa kufahamishwa hili zao la hoho mbegu bora mahitaji na soko zuri n kwa wakati upi wa mwaka?
Msaada wenu wa mawazo ndyo mtaji wangu nataka nijimwage na hoho.
Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia califonia wander ni mbegu nzr kuhusu soko inategemea na mkoa ulipo na mahitaji yake kipindi hicho ambacho ww utakua umetoa shambani all in all Lima kaka kilimo kinalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom