Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,997
- 173,638
Ila mabishoo kazi za hardware kama hizi watazikwepa ambazo mtaji wake unaweza usizidi hata elfu 20! Ila wapo mtandaoni kulalamika.
Chupa unawapa dili mateja wanakuletea kwa buku 2 labda kwa kila kiroba na lina machupa kibao, we ni kuosha tu vizuri tu na kupack! Maji unanunua 400 kila ndoo ya litre 20 na nyingine inakuwa gharama za kuyapooza!