Ninaomba mawasiliano ya hawa watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninaomba mawasiliano ya hawa watu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by KiuyaJibu, Dec 16, 2008.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2008
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  1.Nasreem(Miss TZ 2008)
  2.Richa(Miss 2007)
  Ninahitaji contacts zao,ni muhimu kwa mustakhabali wetu(Watanzania).
   
 2. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 3. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Alternatively atafute mtandao wa kamati ya Miss Tanzania kama wanao halafu hayo ya contacts za hao warembo utapata huko.

  Mustakabali wa nchi yetu unazungumzia au mustakabali wa mashindano ya urembo?
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kama ni kwa ajili ya mambo yale pale sikushauri.......kuna mashori wakali achana na makombo ya Anko Lunde.
   
 5. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2008
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani orodha ilikuwa inaendelea including Miss TZ 2009 who could be anybody willing to jig jig with anybody in the Kamati ya Miss Tanzania.
   
Loading...