Ninaomba kuonana na watu waliowahi kufa kisha kufufuka au kufufuliwa

Kuna mama ang mkubwa yupo mwanza alikufa wakampeleka hospital kumuifaz. baada ya siku tatu 2kiwa kwenye harakat ya kumrudisha mbeya kwa jili ya kupumzisha akafufuka mpaka Leo mwaka wa4 huu mzima kabisa wa afya anaendeleza harat zake ila nimgangawa kienyej aliachiwa na babu yang alikuwa chief wa kinyakyusa
 
Bila shaka wangekuwepo ange kuwa ana ongozana nao kwenye mikutano yake ya kampeni
Wasiliana na mgombea ubunge jimbo la Kawe naamini atakupatia orodha ya watu wote aliowafufua kutoka kwa washirikina wenzake
 
kamuulize gwajima kwani alikuwa anadanganya umma kuwa anafufua wafuu
 
Inasemekana kuwa kuna watu walisha kufa halafu wakafufuka. Lakini pia inasemekana na kuaminika kuwa kuna walio kufa lakini wakafufuliwa kwa maombi kupitia kwa wanao jiita watumishi wa Mungu wanao jiita wachungaji, maskofu, mitume, manabii nk

Ninaomba kuonana na watu wa aina hii ili kupata ushuhuda kama walifika peponi au jehanamu ili kujua hali ya maisha ikoje huko kama tunavyo ambiwa na viongozi wa dini. Ni muhimu kupata uzoefu wa walio fika huko kuliko kuambiwa na ambao hawaja wahi kufika huko. Kama kuna wana JF au ndugu zao walio wahi kufa kisha kufufuka au kufufuliwa tunaomba ushuhuda ili tujipange
Tafuta kazi nyingine ya kufanya ndugu.
Huwezi kumpata aliyekufa na kufufuka enzi hizi. Hata kama ungempata, asingekuambia lolote maana hata Lazaro hakwenda popote na hakuona chochote.
 
Mkuu hamna aliyekufa wala kufufuka na hakuna anayeweza kukuzibitishia kuwa kuna kitu kinaitwa Mungu zaidi ya story tu za kusadikika tuu,, in short ukifa ndiyo umekufa kama wanavyokufa wanyama basi hamna cha mbingu wala nn!!
Na ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha lami kuamini kitu usichoweza kukiona zaidi ya kusikia story tu
 
Hili jambo halipo na haiwezekani kwa namna yoyote.
Kuendelea kulijadili ni kuashiria cha ujinga na kutokukubaliana na ukweli ulio tayari
 
Inasemekana kuwa kuna watu walisha kufa halafu wakafufuka. Lakini pia inasemekana na kuaminika kuwa kuna walio kufa lakini wakafufuliwa kwa maombi kupitia kwa wanao jiita watumishi wa Mungu wanao jiita wachungaji, maskofu, mitume, manabii nk

Ninaomba kuonana na watu wa aina hii ili kupata ushuhuda kama walifika peponi au jehanamu ili kujua hali ya maisha ikoje huko kama tunavyo ambiwa na viongozi wa dini. Ni muhimu kupata uzoefu wa walio fika huko kuliko kuambiwa na ambao hawaja wahi kufika huko. Kama kuna wana JF au ndugu zao walio wahi kufa kisha kufufuka au kufufuliwa tunaomba ushuhuda ili tujipange

Muwahi Gwajima kabla hajawa mheshimiwa yawezekama anao wengi kwenye warehouse yake
 
Inasemekana kuwa kuna watu walisha kufa halafu wakafufuka. Lakini pia inasemekana na kuaminika kuwa kuna walio kufa lakini wakafufuliwa kwa maombi kupitia kwa wanao jiita watumishi wa Mungu wanao jiita wachungaji, maskofu, mitume, manabii nk

Ninaomba kuonana na watu wa aina hii ili kupata ushuhuda kama walifika peponi au jehanamu ili kujua hali ya maisha ikoje huko kama tunavyo ambiwa na viongozi wa dini. Ni muhimu kupata uzoefu wa walio fika huko kuliko kuambiwa na ambao hawaja wahi kufika huko. Kama kuna wana JF au ndugu zao walio wahi kufa kisha kufufuka au kufufuliwa tunaomba ushuhuda ili tujipange
Mhubiri 9:5
''Maana, walio hai hujua ya kwamba watakufa, lakini wafu hawajui chochote. Hawana tuzo tena; hata kumbukumbu lao limesahauliwa Kabisa''
Mtu ambaye hajui chochote atakusimulia nini sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom