Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,304
- 12,965
Inasemekana kuwa kuna watu walisha kufa halafu wakafufuka. Lakini pia inasemekana na kuaminika kuwa kuna walio kufa lakini wakafufuliwa kwa maombi kupitia kwa wanao jiita watumishi wa Mungu wanao jiita wachungaji, maskofu, mitume, manabii nk
Ninaomba kuonana na watu wa aina hii ili kupata ushuhuda kama walifika peponi au jehanamu ili kujua hali ya maisha ikoje huko kama tunavyo ambiwa na viongozi wa dini. Ni muhimu kupata uzoefu wa walio fika huko kuliko kuambiwa na ambao hawaja wahi kufika huko. Kama kuna wana JF au ndugu zao walio wahi kufa kisha kufufuka au kufufuliwa tunaomba ushuhuda ili tujipange