Elections 2010 Ninaomba kufungiwaaaaaaaaaaaa Please Mods

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
NAskia hamu ya kumtukana mtu. Najizuia nashindwa! Njia pekee naomba mods wanifunigie angalao hawa jamaa wamalize kutangaza hayo wanayoyaita matokeo ya uchaguzi Tanzania
 
:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
Kipi bora kumtukana mtu ufungiwe ama uombe ufungiwe tu yaishe
 
wacha mambo yako wewe, we unafikiri kufungiwa jambo dogo eeeh ,, sisi badotunakuhitaji jamvini hebu lete mambo matam na si hayo
 
NAskia hamu ya kumtukana mtu. Najizuia nashindwa! Njia pekee naomba mods wanifunigie angalao hawa jamaa wamalize kutangaza hayo wanayoyaita matokeo ya uchaguzi Tanzania
we tukana tu ufungiwe kihalali mkuu... kufungiwa bila kosa utaumia zaidi
 
Kipi bora kumtukana mtu ufungiwe ama uombe ufungiwe tu yaishe
Aeka Mangi, kuomba ufungiwe sio lazima upate toka kwa mode, nimekubali kukufungia kwa kukuomba, stop this jf obsession, dont open jf impaka uchaguzi uishe!.

Jifunze kusema hapana na kutenda hapana kama unavyowatoleaga watu nje kwa kuwaambia hapana, na unavyokataaga kufanya yasiyopasa.

Sasa iweke jf kwenye yasiyopasa mpka uchauguzi uoishe.
AEKA MANGI-BANNED (SELF) for 3 -Days-Kapumzike!.
 
Jamaa amekuwa Muungwana kwa kumba moderators wa JF wamfungie kwa muda. Tafadhali moderators mfungieni kwa muda huyu jamaa ili hasira zake ziishe akiwa nje ya forum. kwa sisi wana-Psychology tumemuelewa sana. hiyo ni moja njia za kupunguza stress (kutukana), zipo nyingi, kama vile kulia mwenyewe, kung'ata mtu kama mko karibu, kujaribu kujiua na vingine vingi. mimi nikupongeze kwakuomba kufungiwa ndugu yangu.
 
Njowepo watende haki basi hao mabazazi. Kwa nini? Why waone sisi Watanzania hatuna akili kiasi cha kutuona hatuna haki na nchi hii. Watende haki waone kama ku atakayewakasirikia.
Be torelant kijana reserve matusi yako pls
 
Aeka Mangi, kuomba ufungiwe sio lazima upate toka kwa mode, nimekubali kukufungia kwa kukuomba, stop this jf obsession, dont open jf impaka uchaguzi uishe!.

Jifunze kusema hapana na kutenda hapana kama unavyowatoleaga watu nje kwa kuwaambia hapana, na unavyokataaga kufanya yasiyopasa.

Sasa iweke jf kwenye yasiyopasa mpka uchauguzi uoishe.
AEKA MANGI-BANNED (SELF) for 3 -Days-Kapumzike!.

Thanks very much for 3 days I will keep away from media, from JF and from any source that can lead me to tanzania election results. See you after few days. Nawatakia uvumilivu mwema na Mungu awabariki>
 
ni kusema mmeridhika na matokeo?

NAONA MNALUMBANA TU!!!!!!!!!!!!!!
 
Matokeo hayatangazwi JF,, kwahiyo kama ni kijifungia kajifungie nyumbani kwako,, tena uvunguni kwa kitanda ,,,, ila ikifkka siku ya kuapishwa utapata tabu sana,, maana sherehe kila pahala,,mpaka watoto wadogo

kama una vijisent kidogo labda uende Somalia pale Mogadishu kuna kaji RESORT fulani kanaitwa KANDHAR RESORT nenda pale ukabarizi mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom