Ninaoji umakini na uadilifu wa kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninaoji umakini na uadilifu wa kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by politiki, Oct 26, 2010.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160

  Serikali ya JK ndio ilimfikisha mramba mahakamani kwa ubadhirifu, serikali ya jk ndio ilimlazimisha lowassa kujiuzulu, leo hii bila ya aibu anawashika mkono na kutuomba kuwachagua kuwa viongozi wetu. hapa ndipo uadilifu na umakini wa kikwete unapoojiwa?? na siyo kuoji nani kamuoa nani au dini ya mtu au kabila lake au hear say kama alivyofanya KAMARADE kwani vitu hivyo havimsadii mtanzania wa kawaida.
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  if you give kikwete a penny for his thought you'll get a change
   
 3. c

  chanai JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo anayeanza kuhoji dini ya mtu na maisha binafsi ya mtu hana lolote. Kwani sisi tunachangua malaika? Tunahitaji kiongozi wa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umaskini wa kutupwa. Masuala ya ndoa hayahusiki kabisa na Uongozi. Kuna viongozi wengi mashuhuri duniani akiwemo Mandela, Zuma, Clinton n.k. hawakuwa na rekodi nzuri katika ndoa, yet ni viongozi mashuhuri duniani.

  Sijui wewe unafurahia umaskini wa Watanzania? Tanzania ni miongoni mwa nchi tajiri sana duniani lakini watu wake wengi ni maskini wa kutupwa. najua wewe huna shida maana ndo chama hicho hicho cha mafisadi wanaoifilisi nchi hii. Dawa yenu inachemka.
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kikwete hafai hata kuwa muongoza magari barabarani .... ataanguka pwaaaaa na kusababisha ajali.
   
Loading...