Ninani wakukomesha utandwazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninani wakukomesha utandwazi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by madwemule, Jan 21, 2011.

 1. m

  madwemule New Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utandawazi wawezakuwa niukoloni kama wazamani. Nawkoloni iliwaondoke nilazima kuwe nawatu watkaodhubutu kama walivyofanya akina NYERERE,NKWAME, LUMUMBA na wengine wengi wa Afrika. Kifanyike nini nilazima tufikiri kwamakini kuugeuza mfumo huu kama wa Afrika
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  tulipaswa kujua kuwa kuna utandawazi unakuja ili kujiandaa, kwa vile hatukuandaliwa ni vigumu kuwarudisha (kuwavuta mikia) walioona hiyo hali mapena na kureact. Cha msingi hapa, kama wenzetu wanatembea inabidi sisi tukimbie ili tuweze kuwakaribia na kama wanakimbia basi yatupasa tupae lakini mbali na hapo hakuna ujanja zaidi ya kama alivyowahi kusema Mawlimu kuwa TUSIPOKUWA MAKINI TUTAFIKA SEHEMU WENZETU (alimaanisha wazungu wakati ule) WATAANZA KUTUCHUNGA KAMA WANYAMA MBUGANI! Kwa bahati mbaya leo tusipoangalia tutachungwa na jirani zetu wakenya, hata wanyarwanda! UONGOZI NI MUHIMU HAPA
   
Loading...