Ninani huyu Asha Ferouz ?

info12345

New Member
Dec 2, 2017
4
45
Yakiwa yamebaki masaa chini ya kumi na mbili kuelekea uchaguzi wa Senate ya mkoa wa Dar es salaam ( Hii Uhusisha viongozi wa matawi ya ccm vyuo vikuu ) , Mwanadada anayeonekana kuwa na pesa nyingi akiongozana na Team ya watu takribani watano wanazunguka kuonana na viongozi wa vyuo vikuu mbalimbali ( Haijabainika ni package gani wanayokabidhiwa na mwanadada huyu mwenye tambo nyingi).

Taarifa zinaonyesha mpaka kufikia saa tano usiku karibu viongozi wote wamesha wekwa mfukoni jambo linalowafanya wagombea wengine kuuzinika kwakuwa hawana sehemu wanayoweza kusaidiwa juu ya rafu anazocheza dada huyu mwenye majivuno , mmoja wa wagombea amesikika akilalamika ..

"...Sisi ni wanafunzi hatuna pesa za kuhonga , anachofanya huyu dada hakikubariki hata kidogo kwan alipewa nafasi ya kukaimu nafasi ya uenyekit nakuonekana kushindwa kuimudu huku dharau na majivuno vikimtawala..."..( itaendelea kadri taarifa zitakavyo tufikia 9
 

Ngaranalo

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
336
250
Yakiwa yamebaki masaa chini ya kumi na mbili kuelekea uchaguzi wa Senate ya mkoa wa Dar es salaam ( Hii Uhusisha viongozi wa matawi ya ccm vyuo vikuu ) , Mwanadada anayeonekana kuwa na pesa nyingi akiongozana na Team ya watu takribani watano wanazunguka kuonana na viongozi wa vyuo vikuu mbalimbali ( Haijabainika ni package gani wanayokabidhiwa na mwanadada huyu mwenye tambo nyingi ) , taarifa za uhakika zinaonyesha mpaka kufikia saa tano usiku karibu viongozi wote wamesha wekwa mfukoni jambo linalowafanya wagombea wengine kuuzinika kwakuwa hawana sehemu wanayoweza kusaidiwa juu ya rafu anazocheza dada huyu mwenye majivuno , mmoja wa wagombea amesikika akilalamika .."...Sisi ni wanafunzi hatuna pesa za kuhonga , anachofanya huyu dada hakikubariki hata kidogo kwan alipewa nafasi ya kukaimu nafasi ya uenyekit nakuonekana kushindwa kuimudu huku dharau na majivuno vikimtawala..."..( itaendelea kadri taarifa zitakavyo tufikia 9
Huyu Asha Ferouze ni Demu wa Polepole, halafu ni mtumishi wa chuo sio mwanafunzi kwann kapitishwa kugombea vyeo vya wanafunzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom