Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

Wenzie hao labda munaowazaa nyie hawana maadili kutokana na munavyowafundisha kwamba kushikana matako ni Sawa.

Una proof ganii kuhusu malezi ya huyo mtoto?

Are you judging from the pictures on social media?

Yaani ndie mnaojiitaga majina ya akizingua na mkatupia kasentensi ka English mnakokariri kwenye movies shida kweli.
Ndio tatizo la nyie Singo Mothers.

U are lack of ENOUGH sex.....sasa ndio mana mnakua na mood swings......

Go have more SEX then come back.

Too much Estrogen!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtoto wa kiume anaezaliwa shoga lakini pia kufanana na mama mtoto wa kiume sio dhambi.. Tatizo huja pale watu wanaomzunguka kuanza kumtreat yey kama mwanamke na kumpamba kwa sifa za kike kama kumwambia yeye ni mzuri sijui macho ya kike mwisho wa siku huyo mtoto ataanza kuonesha sifa za kike na ndio unakuwa mwanzo wa ushoga. Mimi shule ya boyz nliyosoma kuna dogo kusifiwa na kupewa sifa za kike mpaka kuigza kama mwanamke kama huyo dogo alivyovaa viatu na nguo za kike mwisho wa siku akawa shoga kweli. JAMII INAYOZUNGUKA HASA FAMILIA YAKE UBAYA ZAIDI MAMA YAKE ANACHANGIA HUYU DOGO KUDISPLAY SIFA ZA USHOGA.
 
Huyo mtt unategemea atapata malezi bora wap wakati mama yake kutwa kuongozana na mashoger
 
Wenzie hao labda munaowazaa nyie hawana maadili kutokana na munavyowafundisha kwamba kushikana matako ni Sawa.

Una proof ganii kuhusu malezi ya huyo mtoto?

Are you judging from the pictures on social media?

Yaani ndie mnaojiitaga majina ya akizingua na mkatupia kasentensi ka English mnakokariri kwenye movies shida kweli.
Labda nikuulize swali, mwanao unaweza kumuweka hivyo kumpaka makeupa na vinguo vya kike? Je mume wako kama unae au boyfriend wako ukimuelezea hilo swala kuhusu mtoto mtaemzaa awe kama hivyo anasemaje?
 
Nisome mwanzo mwisho utaelewa msimamo wangu.

What I vehemently object to is the malicious attack on the child.
 
Nisome mwanzo mwisho utaelewa msimamo wangu.

What I vehemently object to is the malicious attack on the child.
But in my view i see attacks are going directly to his mother for betterment of her kid
 
Mtoto kama huyo unaanza kumsuka rasta na kumtinda nyusi unategemea nini ? Matokeo yake ataanza kujenga mazoea na kuanza kuona ni haki yake kusuka nywele na mwisho wa siku ataona ana haki ya kutekenywa matako .
Malezi ya kizungu yanipite mbali
 
kila mtu anataka kuonekana anajua malezi humu ndani, mngepewa malezi bora msingekuwa humu jukwaani mnalaani watu kama miungu.....

maisha yao naimani tunayajua kwa asilimia 20 tu, na yanatokana na picha za mtandaoni sidhani kama kuna aliecomment humu ambae anafikia maisha ya huyo irene, kama yupo aseme......

Hate or get inspired, malezi yake tumuachie yeye mwenyewe, angekuwa anataka msaada angewaambia mumsaidie.....

alafu mnaumia nini?, kwani nyie ni family members wa huyo irene na mwanae? au huyo mtoto anamchango kwenye maisha yenu?
mjitahidi tufocus kwenye kukomboa familia zetu,

maisha ya watu ni siri kubwa sana.....huenda huyo mtoto akatoboa na watoto zenu wakawa mashoga....

bad enough the kid has good perfomance kuanzia darasani hadi kwenye michezo shauri zenu mnamtukana boss wenu ajae....
 
Nisome mwanzo mwisho utaelewa msimamo wangu.

What I vehemently object to is the malicious attack on the child.
Wapuuzi hao....huyo mtoto akiharibika au asiharibike its non of their business, kwani wao ni family members wa irene?

watu wanashupaza shingo kumpa mtu stress kama walizonazo wao hao maisha yanawasumbua wanatafuta kwa kuhemea....

wamuache mtoto asome shule nzuri na ale bata maana ni haki yake kama mama ake anahela kwanini ajinyime....
 
Mtoto kama huyo unaanza kumsuka rasta na kumtinda nyusi unategemea nini ? Matokeo yake ataanza kujenga mazoea na kuanza kuona ni haki yake kusuka nywele na mwisho wa siku ataona ana haki ya kutekenywa matako .
Malezi ya kizungu yanipite mbali
Yeye ni wa kwanza kusuka rasta?

Umeshuhudia akitinda nyusi?
Mtoto kama huyo unaanza kumsuka rasta na kumtinda nyusi unategemea nini ? Matokeo yake ataanza kujenga mazoea na kuanza kuona ni haki yake kusuka nywele na mwisho wa siku ataona ana haki ya kutekenywa matako .
Malezi ya kizungu yanipite mbali
 
Dogo kasukwa Rasta hata u teenager sidhani Kama kafikia niliwao ona kwenye ule uzinduzi wa reality show ya mamake alitindwa nyusi na make up kabisa na juu kapigia rasta kinguo kimembana bado hereni tu pale .

Wanaume wakiongea muwa mnawasikiliza msijitie kuleta u superwoman hapa

Hio u super woman pelekeni kwa watoto wenu wakike

Huyo dogo mamake anamuahiribu kwa kumxpose na muonekano wa kike kike

Time will tell

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom