Mello
Senior Member
- May 7, 2017
- 110
- 206
Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.