Ninamtaji wa milioni kumi nifanye biashara ipi nzuri

kindoki

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
213
218
Wadau, nimefanikiwa kupata milioni kumi ivyo nipo kwenye mchakato wa kutafuta biashara nzuri ambayo itanisaidia kunipa faida kiasi flani, ninaishi kigoma mjini, nakaribisha mawazo yenye kunijenga na cio jokes ambazo hazina tija
 
Kwahiyo kama ameipata kwenye kamari aendelee kucheza kamari maisha yake yote!ushauri wa kimama
Kigoma nunua mawese na kuuza, au nenda mwanga ufungue duka la vitenge! Au nenda sido ununue mise na kuzisaga uuze mafuta na utengeneze sabuni au nunua ng'ombe wa maziwa ufuge! Happy kigoma maziwa yana demand kubwa sana na wafugaji ni wachache!asante
 
Nime

Nimekusoma
 
Back
Top Bottom