Ninampinga Bashe kuhusu TTCL kama ifuatavyo

SubiriJibu

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
1,803
1,863
Sasa huyu anataka treasury registrar aajiri inamaana serikali kwenye Mashirika ya reli, umeme, maji, Mawasiliano, matibabu, viwanda muajiri awe mmoja hivi huyo muajiri anakua na utaalamu gani wa kujua sifa na vigezo vya watu wote hao wakati fani yake ni uchumi?

Gawa majukumu kwa kila mtu ili kuwe na ufanisi waziri sio mjumbe wa nyumba 10/10

Lakini unaweza kushangaa watu wanaona anaongea points kumbe pumba tu, nimejua yaani kama utakua unapinga tu masuala Bungeni ndio nyumbu wanakuona wa maana bila kujali kipi unapinga na uhalali wake

Kaka REDEEMER,

Afadhali umeiona. Unajua Bashe anawazidi wengi bungeni na humu JF kwa kigezokwamba ameshiriki mfumo wa biashara kabla hajaenda bungeni. Kumbuka amekuwa Director wa Media moja kwa muda mrefu na akiongea inabidi uwe umeenda shule kwelikweli kupangua hoja yake.

Ona hata wanaochangia wanaishia tu kusifia bila kwenda ndani.

Wewe umeona hiyo point na mimi naongezea kwambaBashe haja-study vitu vingine katika business system. Hukohuko kwenye private sekta bado kuna ugomvi mkubwa kwamba nani awe mwajiri hasa kama institution ina discipline nyingi.

Tatizo la appointment liko kote na linatokana na utata kwamba ni nani anapaswa kutoa appointments. Kampuni nyingi zilipoingia hapo nchini zilikuwa zinaweka director wa kila department anakuwa executive director na anakuwa na decision kwenye board. Baadaye Chief Executive (CEO) wakaona hiyo inawapunguzia nguvu maana Managing Director (MD) anajidhani ni mkuu wa kampuni lakini akiingia kwenye board na executive directors wenzake anaweza kuzidiwa hoja na finance director au operations director.

Wapo wanaoamini kwamba kwa sababu fedha ndiyo inayoendesha kampuni au taasisi basi mkuu wa fedha ndiye anayepaswa kuajiri. Hii ndiyo concept ya Bashe. Wapo wanaoamini kwamba Operations Director ndiye anatakiwa kuajiri watu wake na hasa kama kampuni kama TTCL ina section ya professional duties.

Mzozo huu umekuw ani mkubwa kiasi kwamba ma-director wamekuwa wakitunishiana misuli kwenye board na ilipofikia hatua hii wakaona mbinu ni kuvuja kampuni kidogokidogo kuifanya iwe na “outsource”.

Yaani department inavunjwa na kuwa kampuni binafsi na huko inakuw ana director wake. Department ya Sales nayo inageuzwa kwa kampuni binafsi inakuw ana director wake. Department ya Marketing inafanyw ahivyohivyo na inakuwa kampuni na director wake.

Hivyo, kwa nje unaona kwamba ni kampuni moja lakini kumbe ukweli ni kwamba ndani yake kuna “outsurce” nyingi tu. Hii ni “outsource” usichanganye na “subsidiary”. Maana “subsidiary” ni kampuni ndogo bado inamilikiwa na kampuni mama.

“Outsource” ni kampuni nyingine kabisa. Natoa mfano mdogo unielewe. Zamani kampuni zote zilikuwa zina section ya ulinzi au usafi. Siku hizi ulinzi siyo section au department bali ni kampuni kabisa inajitegemea na ina director wake. Ndiyo hizi security companies.

Usafi nao ni kampuni inajitegemea ndiyo hawa akina “Global Trotters” na ndiyo inayoajiri hawa mabinti wanaopiga kelele ovyo kwenye lift za majengo mengi marefu. Hawa ni wafanya usafi wameajiriwa na kampuni ya usafi.

Hivi ndivyo ilivyo sasa hivi.

Inaelekea TTCL bado imelala na mfumo ule wa “monolith company” yaani Managig Director anasimami kila kitu na board inamsimamia na kuna kamouni moja tu.

Dunia sasa hivi haiku hivyo. Ule ugomvi wa madaraka niliousema umeifikisha dunia hapa. Na isingekuwa ku-split katika “outsource” ni wazi kungekuw ana ugomvi ni nani mkubwa na ni nani aajiri.

Mkurugenzi wa fedha ana idara yake na watu wake wa fedha ataambiwa ajiri watu wa idara yako tuachie mambo mengine sisi. Hivyo huwezi kusema per se kwamba mhusika na fedha kama “Treasury Registrar” ndiye awe mwajiri kwa sababu ni msimami kama anavyosema Bashe.

“Treasury Registrar” anaweza kuona “financial position” ya kampuni . Lakini “financial position” inatokana na vitu vingi. Unahitaji professional experts wazuri na yeye hawajui anawajua wallet waliomaliza mambo ya accounts. Hajui customer care wazuri au hajui kabisa hata customer care ni nini na hawa ndiyo wanaokutana na wateja.

In fact mimi kama mteja wa TTCL au kampuni yoyote mtu wa muhimu kwangu ni Customer Care maana ndiye ninayemalizana naye kwa mambo mengi.

Hivyo, kampuni haiendeshwi kwa kuzingatia mtaalamu wa pesa vinginevyo mtu ambaye hakusoma accounts asingeweza kuanzisha kampuni au kuendesha kampuni.

Ninakubaliana na Bashe kwamba ni tatizo kumuweka Waziri awe appointing officer lakini ninakataa solutionyake kwamba appointing officer awe “Treasury Registrar”.

Kuna option ameiweka lakii hakuisema sana. Kwamba hizi position ziwe competitive yaani zitangazwe na zigombaniwe. Naposema hivyo anamaanisha position za board members. Ukitaka kuwa board member basi nafasi itangazwe na tugomee mimi na wewe.

Unaweza kudhani ni sahihi na rahisi lakini tuuchambue mfumo huu. Hivi kweli hapo Tanzania watu wanajua na kufuatilia mambo yanayofanywa na bodi zetu? Bashe kasema vizuri kwamba kuwe na quarterly report yaani ya miezi mitatu na si ya miezi sita kama inavyopendekezwa kwa TTCL.

Lakini hata kama kungekuwa na monthy report turejee kwenye swali la mwanzoni, je kazi za bodi nyingi ni nini? Swali hili jibu lake ni moja kote seikalini na kwenye private sekta kwamba kazi za board mara nyingi ni kama hakuna. Inawezekana kabisa kuendesha kampuni yoyote ya sekta binafsi au sekta umma bila hata kuwepo na bodi ya wakurugenzi.

Bodi ni kikao kinachokaa sanasana wiki nzima wakati kampuni huendesha shughuli zake kila siku. Wengi huwa hawana uelewa wa shughuli za kampuni wakati biashara inahitaji ubuinifu wa kila dakika.

Hivyo mwenye kuelewa mambo mengi ya kampuni ni executive director yaani Managing Director na executive director wenzake. Hawa wanaokuja kucnywa chai kwenye kikao cha bodi ni vigumu kupinga hoja za Executive Director labda tu awe si mwadilifu na fisadi. Lakini kama ni muadilifu board members watakuwa wanapiga usingizi kama bungeni hawana la kumpinga maana yeye ndiye anayeendesha na anajua challenge zinazozaliwa kila leo katika sekat tena challenge zingine hazikuonekana mapema na bodi.

Hivyo mfumo huu ndiyo ubovu wake, bado tunaamini sana uwepo wa bodi. Ni mfumo huuhuu umefanya bodi zifukuzwe na zitaendelea kufukuzwa au kutumbuliwa kila leo kwa sababu biashara ya kampuni ukweli ni kwmaba haimo mikononi mwa bodi bali imo mikononi mwa executive directors yaani Managing Director na executive directors wake.

Tena hata nawa wamechoka siku hizi na nimesema kwamba wame-split kampuni na kugawa kazi katika vikampuni vidogovidogo vinavyoitwa “outsource”. Ndiyo hawa akina EROLINK, HUAWEI nk.

TTCL au hata TANESCO ikubali na iendane na hali ya sasa. HUwezi kuwa na kampuni kubwa imesamba anchi nzima ukaweza kui-manage hata kama inasimamiwa na Waziri anachokipinga Bashe au hata ikisimamiwa na “tresures registrar” anavyopendekeza Bashe.

TTCL na TANESCO zinatakiwa kuwa split na kampuni ndogondogo zifanye kazi kama makampni makubwa yote yanavyofanya kwa miaka zaidi ya kumi sasa.

Kingine alichojisahau Mheshimiwa Bashe ni pale anaposema nafasi za bodi au hata ukurugenzi ziache kuwa appointment ziwe zinatangazwa. Nimeshasema ni wazo zuri lakini anakosea kusema eti “private sector” wanafanya hivyo.

Ndugu zangu JF, hebu niambien ni kampuni gani ya binafsi ilishawahi kutangaza nafasi za “u-director” au nafasi za “board members”? Mimi binafsi sijawahi kusikia na kama ni uzembe wangu nikumbusheni.

Ninachojua watanzania wengi hawajawahi kuwa na cheo hiki cha “director” hukohujo kwenye “private sector”. Chagua kampuni kubwa za wawekezaji nchini na uniambie ni kampuni ngapi zina “Managing Director” mtanzania. Hakuna.

Lakini kampuni hizohizo utakuta zimeweka “Board Chairman” mtanzania, tena mwanasiasa, kitu anachokikataa Bashe. Spika mmoja wa Bunge aliwahi kuwa “Board Chairman” kampuni moja kubwa hapo nchini hadi aliposakamwa kuhusu "u-board member wake" akawajibu wanaomsakama kwamba “wana wivu wa kike”.

Huyu ni mwanasiasa na nafasi yake huko haikutangazwa kwala ugombewa bali aliitwa na kupewa kwa vigezo viijuavyo hiyo kampuni na kampuni kubwa sana hadi leo ipo. Na iliendelea na mtindo huohuo wa kupata wanasiasa kuwa "ma-Board Chairman".

Lakini tujiulize. kkwa nini hawa kampuni binafsi kwenye Board wanaweka watanzania lakini executive director hawathubutu kuweka mtanzania?

Mtokeo yake hakuna mtanzania unayemsikia kuwa ni “Managing Director” kwenye hizi kampuni binafsi.

Sababu nimeshaisema nayo ni kwmaba bodi nyingi ni kama rubber stamp tu ni kama hazina kazi kwani kazi kubwa wanafanya executive directors yaani Managing Director, Finace Director au Operations Director.

Na siku hizi kazi zinafanywa na "oustsource companies" wanawekeana KPI agreement maisha yanakwenda.

Hivyo ukiwadanganya watu kwamba kwenye bodi za kampuni biafsi kuna watanzania wenzenu na sisi tunapofuka kama wajinga tukijidhani eti watanzania nao tuna maamuzi katika kampuni binafsi kumbe ni change la macho.

Hivyo, hata huko private sekta anakokusifia Bashe bado kuna uozo uleule kwamba appointments bado ni za kuteuliwa kama serikalini wala hakuna interview au tangazo lolote.

Ongezeeni mnayoyajua tukijua tunajadili hatima ya shirika letu TTCL na mengine
-------------------
Kitendo cha kuifanya TTCL-PESA kuwa kampuni tanzu ni kifo kwa ttcl,Celtel ilianza hivyo na mwishoni wakajitenga!!!! na mwishoni wakalipwa bila kuwekeza chochote!! Bashe keep it up!! TTCL-PESA imilikiwe na TTCL 100%
Huyu jamaa akili yake iko mbali sana kulinganisha na yule wa "mipasho"
keep it up Bashe
TTCL isijekurudi kuwa Shirika la Umma tena. Kila mtu anafanya anachotaka na hakuna kuwajibishwa. Mara nyingine tuangalie mambo gani yatasaidia tufike tunapotaka kwenda
 
Mkuu sidhani kama unalijua hilo uliloandika. Outsourcing!! Internally!! It doesn’t work na ndio nasikia concept hii kwa mara ya kwanza. Yes outsourcing can be adopted to increase efficiency and save cost.

Accounting, HR functions, etc can be outsourced externally and has nothing to do with governance. It is getting services from service providers outside the company.

The Bashe’s argument is about corporate governance best practice. Ulivyoiweka ya kwako nimejaribu hata kupata reference beyond my common understandings but could not get it anywhere. Labda ni new management concept in making!
Let me wait.

Kaka REDEEMER,

Afadhali umeiona. Unajua Bashe anawazidi wengi bungeni na humu JF kwa kigezokwamba ameshiriki mfumo wa biashara kabla hajaenda bungeni. Kumbuka amekuwa Director wa Media moja kwa muda mrefu na akiongea inabidi uwe umeenda shule kwelikweli kupangua hoja yake.

Ona hata wanaochangia wanaishia tu kusifia bila kwenda ndani.

Wewe umeona hiyo point na mimi naongezea kwambaBashe haja-study vitu vingine katika business system. Hukohuko kwenye private sekta bado kuna ugomvi mkubwa kwamba nani awe mwajiri hasa kama institution ina discipline nyingi.

Tatizo la appointment liko kote na linatokana na utata kwamba ni nani anapaswa kutoa appointments. Kampuni nyingi zilipoingia hapo nchini zilikuwa zinaweka director wa kila department anakuwa executive director na anakuwa na decision kwenye board. Baadaye Chief Executive (CEO) wakaona hiyo inawapunguzia nguvu maana Managing Director (MD) anajidhani ni mkuu wa kampuni lakini akiingia kwenye board na executive directors wenzake anaweza kuzidiwa hoja na finance director au operations director.

Wapo wanaoamini kwamba kwa sababu fedha ndiyo inayoendesha kampuni au taasisi basi mkuu wa fedha ndiye anayepaswa kuajiri. Hii ndiyo concept ya Bashe. Wapo wanaoamini kwamba Operations Director ndiye anatakiwa kuajiri watu wake na hasa kama kampuni kama TTCL ina section ya professional duties.

Mzozo huu umekuw ani mkubwa kiasi kwamba ma-director wamekuwa wakitunishiana misuli kwenye board na ilipofikia hatua hii wakaona mbinu ni kuvuja kampuni kidogokidogo kuifanya iwe na “outsource”.

Yaani department inavunjwa na kuwa kampuni binafsi na huko inakuw ana director wake. Department ya Sales nayo inageuzwa kwa kampuni binafsi inakuw ana director wake. Department ya Marketing inafanyw ahivyohivyo na inakuwa kampuni na director wake.

Hivyo, kwa nje unaona kwamba ni kampuni moja lakini kumbe ukweli ni kwamba ndani yake kuna “outsurce” nyingi tu. Hii ni “outsource” usichanganye na “subsidiary”. Maana “subsidiary” ni kampuni ndogo bado inamilikiwa na kampuni mama.

“Outsource” ni kampuni nyingine kabisa. Natoa mfano mdogo unielewe. Zamani kampuni zote zilikuwa zina section ya ulinzi au usafi. Siku hizi ulinzi siyo section au department bali ni kampuni kabisa inajitegemea na ina director wake. Ndiyo hizi security companies.

Usafi nao ni kampuni inajitegemea ndiyo hawa akina “Global Trotters” na ndiyo inayoajiri hawa mabinti wanaopiga kelele ovyo kwenye lift za majengo mengi marefu. Hawa ni wafanya usafi wameajiriwa na kampuni ya usafi.

Hivi ndivyo ilivyo sasa hivi.

Inaelekea TTCL bado imelala na mfumo ule wa “monolith company” yaani Managig Director anasimami kila kitu na board inamsimamia na kuna kamouni moja tu.

Dunia sasa hivi haiku hivyo. Ule ugomvi wa madaraka niliousema umeifikisha dunia hapa. Na isingekuwa ku-split katika “outsource” ni wazi kungekuw ana ugomvi ni nani mkubwa na ni nani aajiri.

Mkurugenzi wa fedha ana idara yake na watu wake wa fedha ataambiwa ajiri watu wa idara yako tuachie mambo mengine sisi. Hivyo huwezi kusema per se kwamba mhusika na fedha kama “Treasury Registrar” ndiye awe mwajiri kwa sababu ni msimami kama anavyosema Bashe.

“Treasury Registrar” anaweza kuona “financial position” ya kampuni . Lakini “financial position” inatokana na vitu vingi. Unahitaji professional experts wazuri na yeye hawajui anawajua wallet waliomaliza mambo ya accounts. Hajui customer care wazuri au hajui kabisa hata customer care ni nini na hawa ndiyo wanaokutana na wateja.

In fact mimi kama mteja wa TTCL au kampuni yoyote mtu wa muhimu kwangu ni Customer Care maana ndiye ninayemalizana naye kwa mambo mengi.

Hivyo, kampuni haiendeshwi kwa kuzingatia mtaalamu wa pesa vinginevyo mtu ambaye hakusoma accounts asingeweza kuanzisha kampuni au kuendesha kampuni.

Ninakubaliana na Bashe kwamba ni tatizo kumuweka Waziri awe appointing officer lakini ninakataa solutionyake kwamba appointing officer awe “Treasury Registrar”.

Kuna option ameiweka lakii hakuisema sana. Kwamba hizi position ziwe competitive yaani zitangazwe na zigombaniwe. Naposema hivyo anamaanisha position za board members. Ukitaka kuwa board member basi nafasi itangazwe na tugomee mimi na wewe.

Unaweza kudhani ni sahihi na rahisi lakini tuuchambue mfumo huu. Hivi kweli hapo Tanzania watu wanajua na kufuatilia mambo yanayofanywa na bodi zetu? Bashe kasema vizuri kwamba kuwe na quarterly report yaani ya miezi mitatu na si ya miezi sita kama inavyopendekezwa kwa TTCL.

Lakini hata kama kungekuwa na monthy report turejee kwenye swali la mwanzoni, je kazi za bodi nyingi ni nini? Swali hili jibu lake ni moja kote seikalini na kwenye private sekta kwamba kazi za board mara nyingi ni kama hakuna. Inawezekana kabisa kuendesha kampuni yoyote ya sekta binafsi au sekta umma bila hata kuwepo na bodi ya wakurugenzi.

Bodi ni kikao kinachokaa sanasana wiki nzima wakati kampuni huendesha shughuli zake kila siku. Wengi huwa hawana uelewa wa shughuli za kampuni wakati biashara inahitaji ubuinifu wa kila dakika.

Hivyo mwenye kuelewa mambo mengi ya kampuni ni executive director yaani Managing Director na executive director wenzake. Hawa wanaokuja kucnywa chai kwenye kikao cha bodi ni vigumu kupinga hoja za Executive Director labda tu awe si mwadilifu na fisadi. Lakini kama ni muadilifu board members watakuwa wanapiga usingizi kama bungeni hawana la kumpinga maana yeye ndiye anayeendesha na anajua challenge zinazozaliwa kila leo katika sekat tena challenge zingine hazikuonekana mapema na bodi.

Hivyo mfumo huu ndiyo ubovu wake, bado tunaamini sana uwepo wa bodi. Ni mfumo huuhuu umefanya bodi zifukuzwe na zitaendelea kufukuzwa au kutumbuliwa kila leo kwa sababu biashara ya kampuni ukweli ni kwmaba haimo mikononi mwa bodi bali imo mikononi mwa executive directors yaani Managing Director na executive directors wake.

Tena hata nawa wamechoka siku hizi na nimesema kwamba wame-split kampuni na kugawa kazi katika vikampuni vidogovidogo vinavyoitwa “outsource”. Ndiyo hawa akina EROLINK, HUAWEI nk.

TTCL au hata TANESCO ikubali na iendane na hali ya sasa. HUwezi kuwa na kampuni kubwa imesamba anchi nzima ukaweza kui-manage hata kama inasimamiwa na Waziri anachokipinga Bashe au hata ikisimamiwa na “tresures registrar” anavyopendekeza Bashe.

TTCL na TANESCO zinatakiwa kuwa split na kampuni ndogondogo zifanye kazi kama makampni makubwa yote yanavyofanya kwa miaka zaidi ya kumi sasa.

Kingine alichojisahau Mheshimiwa Bashe ni pale anaposema nafasi za bodi au hata ukurugenzi ziache kuwa appointment ziwe zinatangazwa. Nimeshasema ni wazo zuri lakini anakosea kusema eti “private sector” wanafanya hivyo.

Ndugu zangu JF, hebu niambien ni kampuni gani ya binafsi ilishawahi kutangaza nafasi za “u-director” au nafasi za “board members”? Mimi binafsi sijawahi kusikia na kama ni uzembe wangu nikumbusheni.

Ninachojua watanzania wengi hawajawahi kuwa na cheo hiki cha “director” hukohujo kwenye “private sector”. Chagua kampuni kubwa za wawekezaji nchini na uniambie ni kampuni ngapi zina “Managing Director” mtanzania. Hakuna.

Lakini kampuni hizohizo utakuta zimeweka “Board Chairman” mtanzania, tena mwanasiasa, kitu anachokikataa Bashe. Spika mmoja wa Bunge aliwahi kuwa “Board Chairman” kampuni moja kubwa hapo nchini hadi aliposakamwa kuhusu "u-board member wake" akawajibu wanaomsakama kwamba “wana wivu wa kike”.

Huyu ni mwanasiasa na nafasi yake huko haikutangazwa kwala ugombewa bali aliitwa na kupewa kwa vigezo viijuavyo hiyo kampuni na kampuni kubwa sana hadi leo ipo. Na iliendelea na mtindo huohuo wa kupata wanasiasa kuwa "ma-Board Chairman".

Lakini tujiulize. kkwa nini hawa kampuni binafsi kwenye Board wanaweka watanzania lakini executive director hawathubutu kuweka mtanzania?

Mtokeo yake hakuna mtanzania unayemsikia kuwa ni “Managing Director” kwenye hizi kampuni binafsi.

Sababu nimeshaisema nayo ni kwmaba bodi nyingi ni kama rubber stamp tu ni kama hazina kazi kwani kazi kubwa wanafanya executive directors yaani Managing Director, Finace Director au Operations Director.

Na siku hizi kazi zinafanywa na "oustsource companies" wanawekeana KPI agreement maisha yanakwenda.

Hivyo ukiwadanganya watu kwamba kwenye bodi za kampuni biafsi kuna watanzania wenzenu na sisi tunapofuka kama wajinga tukijidhani eti watanzania nao tuna maamuzi katika kampuni binafsi kumbe ni change la macho.

Hivyo, hata huko private sekta anakokusifia Bashe bado kuna uozo uleule kwamba appointments bado ni za kuteuliwa kama serikalini wala hakuna interview au tangazo lolote.

Ongezeeni mnayoyajua tukijua tunajadili hatima ya shirika letu TTCL na mengine
-------------------
H
 
Well said ila wachache ndio wataelewa,private sector always MD lazima awe foreigner sijui kuna kasumba gani hapaa,

Kuna kampuni kubwa ya mawasiliano MD ameondoka wameleta MD mwingine toka ghana,ila na sisii watz tukipewa position kubwa tunajisahau tunaeka urasimu mwingi sana tumeshazoea kuongozwa tuaka kadhaa utaambiwa pale wamejaa kabila flani au dini flanii kutoka kwa maagizo ya MD

Sec,outsource ni labda humohumo ndani ya kampuni zitengenezwe mfano kampuni moja hapa mjinii imejigawa sales n distribution ni tofauti na marketing I.e sales imetengenexa kaidara flani ambacho kanajitegemea ila kapo ndani ya kampunii hii imesaidia kupunguza muingiliano wa kazii

Ila kwa swala la custmoer servise ni lazima litafutiwe outsource maana customer kwa makampuni ya mawasiliano ndio uti wa mgongo lazima iwe ni special case
Mnivumilie sio mzoefu sana katika uchangiajii
 
Mkuu sidhani kama unalijua hilo uliloandika. Outsourcing!! Internally!! It doesn’t work na ndio nasikia concept hii kwa mara ya kwanza. Yes outsourcing can be adopted to increase efficiency and save cost. Accounting, HR functions, etc can be outsourced externally and has nothing to do with governance. It is getting services from service providers outside the company. The Bashe’s argument is about corporate governance best practice. Ulivyoiweka ya kwako nimejaribu hata kupata reference beyond my common understandings but could not get it anywhere. Labda ni new management concept in making!
Let me wait.

H

Mkuu,

Hivi unaposema "outsourcing" ndiyo for the first time unaisikia hiyo concept kwangu, hivi unatania au uko serious?

Maana JF wakati mwingine utani ni mwingi na siamini unachosema.

Kama hutanii kwa kweli siwezi ku-comment nikutakie tu pole sana huko dunia unayoishi.
 
Mkuu umetumia hiyo terminology kiaina yako. Uneweka mambo mengi sana ya corporate governance na kuyaoanisha na outsourcing ya company functions ndipo nilipichanganyikiwa. Uwezo wa ku manage, leadership skills, etc ambazo watanzania, sijui kama nikupakaziwa, tunatuhumiwa ni zero. Inawezrkana ikawa kweli ni dunia ninayoishi!!!

Mheshimiwa,

Hujachanganyikiwa na kadiri unavyo-comment inaonekana hauko exposed katika private sector inavyo-operate na ni wazi wewe unaweza kuwa ni mfanyakazi wa serikalini.

Hebu pitia comments za wenzako walioelewa tena waka-add value kwenye hilo la "outsourcing" kama huyu.

Well said ila wachache ndio wataelewa,private sector always MD lazima awe foreigner sijui kuna kasumba gani hapaa,
Kuna kampuni kubwa ya mawasiliano MD ameondoka wameleta MD mwingine toka ghana,ila na sisii watz tukipewa position kubwa tunajisahau tunaeka urasimu mwingi sana tumeshazoea kuongozwa tu
Subiri uone pale TTCL baada ya miaka kadhaa utaambiwa pale wamejaa kabila flani au dini flanii kutoka kwa maagizo ya MD
Sec,outsource ni labda humohumo ndani ya kampuni zitengenezwe mfano kampuni moja hapa mjinii imejigawa sales n distribution ni tofauti na marketing I.e sales imetengenexa kaidara flani ambacho kanajitegemea ila kapo ndani ya kampunii hii imesaidia kupunguza muingiliano wa kazii
Ila kwa swala la custmoer servise ni lazima litafutiwe outsource maana customer kwa makampuni ya mawasiliano ndio uti wa mgongo lazima iwe ni special case
Mnivumilie sio mzoefu sana katika uchangiajii
 
lumumba wakitunze sana atleast umejibu hoja kwa hoja
umepangua hoja vzr hongera
sijawah kumpa like mwana lumumba ww utakua wa kwanza
 
Kaka REDEEMER,

Afadhali umeiona. Unajua Bashe anawazidi wengi bungeni na humu JF kwa kigezokwamba ameshiriki mfumo wa biashara kabla hajaenda bungeni. Kumbuka amekuwa Director wa Media moja kwa muda mrefu na akiongea inabidi uwe umeenda shule kwelikweli kupangua hoja yake.

Ona hata wanaochangia wanaishia tu kusifia bila kwenda ndani.

Wewe umeona hiyo point na mimi naongezea kwambaBashe haja-study vitu vingine katika business system. Hukohuko kwenye private sekta bado kuna ugomvi mkubwa kwamba nani awe mwajiri hasa kama institution ina discipline nyingi.

Tatizo la appointment liko kote na linatokana na utata kwamba ni nani anapaswa kutoa appointments. Kampuni nyingi zilipoingia hapo nchini zilikuwa zinaweka director wa kila department anakuwa executive director na anakuwa na decision kwenye board. Baadaye Chief Executive (CEO) wakaona hiyo inawapunguzia nguvu maana Managing Director (MD) anajidhani ni mkuu wa kampuni lakini akiingia kwenye board na executive directors wenzake anaweza kuzidiwa hoja na finance director au operations director.

Wapo wanaoamini kwamba kwa sababu fedha ndiyo inayoendesha kampuni au taasisi basi mkuu wa fedha ndiye anayepaswa kuajiri. Hii ndiyo concept ya Bashe. Wapo wanaoamini kwamba Operations Director ndiye anatakiwa kuajiri watu wake na hasa kama kampuni kama TTCL ina section ya professional duties.

Mzozo huu umekuw ani mkubwa kiasi kwamba ma-director wamekuwa wakitunishiana misuli kwenye board na ilipofikia hatua hii wakaona mbinu ni kuvuja kampuni kidogokidogo kuifanya iwe na “outsource”.

Yaani department inavunjwa na kuwa kampuni binafsi na huko inakuw ana director wake. Department ya Sales nayo inageuzwa kwa kampuni binafsi inakuw ana director wake. Department ya Marketing inafanyw ahivyohivyo na inakuwa kampuni na director wake.

Hivyo, kwa nje unaona kwamba ni kampuni moja lakini kumbe ukweli ni kwamba ndani yake kuna “outsurce” nyingi tu. Hii ni “outsource” usichanganye na “subsidiary”. Maana “subsidiary” ni kampuni ndogo bado inamilikiwa na kampuni mama.

“Outsource” ni kampuni nyingine kabisa. Natoa mfano mdogo unielewe. Zamani kampuni zote zilikuwa zina section ya ulinzi au usafi. Siku hizi ulinzi siyo section au department bali ni kampuni kabisa inajitegemea na ina director wake. Ndiyo hizi security companies.

Usafi nao ni kampuni inajitegemea ndiyo hawa akina “Global Trotters” na ndiyo inayoajiri hawa mabinti wanaopiga kelele ovyo kwenye lift za majengo mengi marefu. Hawa ni wafanya usafi wameajiriwa na kampuni ya usafi.

Hivi ndivyo ilivyo sasa hivi.

Inaelekea TTCL bado imelala na mfumo ule wa “monolith company” yaani Managig Director anasimami kila kitu na board inamsimamia na kuna kamouni moja tu.

Dunia sasa hivi haiku hivyo. Ule ugomvi wa madaraka niliousema umeifikisha dunia hapa. Na isingekuwa ku-split katika “outsource” ni wazi kungekuw ana ugomvi ni nani mkubwa na ni nani aajiri.

Mkurugenzi wa fedha ana idara yake na watu wake wa fedha ataambiwa ajiri watu wa idara yako tuachie mambo mengine sisi. Hivyo huwezi kusema per se kwamba mhusika na fedha kama “Treasury Registrar” ndiye awe mwajiri kwa sababu ni msimami kama anavyosema Bashe.

“Treasury Registrar” anaweza kuona “financial position” ya kampuni . Lakini “financial position” inatokana na vitu vingi. Unahitaji professional experts wazuri na yeye hawajui anawajua wallet waliomaliza mambo ya accounts. Hajui customer care wazuri au hajui kabisa hata customer care ni nini na hawa ndiyo wanaokutana na wateja.

In fact mimi kama mteja wa TTCL au kampuni yoyote mtu wa muhimu kwangu ni Customer Care maana ndiye ninayemalizana naye kwa mambo mengi.

Hivyo, kampuni haiendeshwi kwa kuzingatia mtaalamu wa pesa vinginevyo mtu ambaye hakusoma accounts asingeweza kuanzisha kampuni au kuendesha kampuni.

Ninakubaliana na Bashe kwamba ni tatizo kumuweka Waziri awe appointing officer lakini ninakataa solutionyake kwamba appointing officer awe “Treasury Registrar”.

Kuna option ameiweka lakii hakuisema sana. Kwamba hizi position ziwe competitive yaani zitangazwe na zigombaniwe. Naposema hivyo anamaanisha position za board members. Ukitaka kuwa board member basi nafasi itangazwe na tugomee mimi na wewe.

Unaweza kudhani ni sahihi na rahisi lakini tuuchambue mfumo huu. Hivi kweli hapo Tanzania watu wanajua na kufuatilia mambo yanayofanywa na bodi zetu? Bashe kasema vizuri kwamba kuwe na quarterly report yaani ya miezi mitatu na si ya miezi sita kama inavyopendekezwa kwa TTCL.

Lakini hata kama kungekuwa na monthy report turejee kwenye swali la mwanzoni, je kazi za bodi nyingi ni nini? Swali hili jibu lake ni moja kote seikalini na kwenye private sekta kwamba kazi za board mara nyingi ni kama hakuna. Inawezekana kabisa kuendesha kampuni yoyote ya sekta binafsi au sekta umma bila hata kuwepo na bodi ya wakurugenzi.

Bodi ni kikao kinachokaa sanasana wiki nzima wakati kampuni huendesha shughuli zake kila siku. Wengi huwa hawana uelewa wa shughuli za kampuni wakati biashara inahitaji ubuinifu wa kila dakika.

Hivyo mwenye kuelewa mambo mengi ya kampuni ni executive director yaani Managing Director na executive director wenzake. Hawa wanaokuja kucnywa chai kwenye kikao cha bodi ni vigumu kupinga hoja za Executive Director labda tu awe si mwadilifu na fisadi. Lakini kama ni muadilifu board members watakuwa wanapiga usingizi kama bungeni hawana la kumpinga maana yeye ndiye anayeendesha na anajua challenge zinazozaliwa kila leo katika sekat tena challenge zingine hazikuonekana mapema na bodi.

Hivyo mfumo huu ndiyo ubovu wake, bado tunaamini sana uwepo wa bodi. Ni mfumo huuhuu umefanya bodi zifukuzwe na zitaendelea kufukuzwa au kutumbuliwa kila leo kwa sababu biashara ya kampuni ukweli ni kwmaba haimo mikononi mwa bodi bali imo mikononi mwa executive directors yaani Managing Director na executive directors wake.

Tena hata nawa wamechoka siku hizi na nimesema kwamba wame-split kampuni na kugawa kazi katika vikampuni vidogovidogo vinavyoitwa “outsource”. Ndiyo hawa akina EROLINK, HUAWEI nk.

TTCL au hata TANESCO ikubali na iendane na hali ya sasa. HUwezi kuwa na kampuni kubwa imesamba anchi nzima ukaweza kui-manage hata kama inasimamiwa na Waziri anachokipinga Bashe au hata ikisimamiwa na “tresures registrar” anavyopendekeza Bashe.

TTCL na TANESCO zinatakiwa kuwa split na kampuni ndogondogo zifanye kazi kama makampni makubwa yote yanavyofanya kwa miaka zaidi ya kumi sasa.

Kingine alichojisahau Mheshimiwa Bashe ni pale anaposema nafasi za bodi au hata ukurugenzi ziache kuwa appointment ziwe zinatangazwa. Nimeshasema ni wazo zuri lakini anakosea kusema eti “private sector” wanafanya hivyo.

Ndugu zangu JF, hebu niambien ni kampuni gani ya binafsi ilishawahi kutangaza nafasi za “u-director” au nafasi za “board members”? Mimi binafsi sijawahi kusikia na kama ni uzembe wangu nikumbusheni.

Ninachojua watanzania wengi hawajawahi kuwa na cheo hiki cha “director” hukohujo kwenye “private sector”. Chagua kampuni kubwa za wawekezaji nchini na uniambie ni kampuni ngapi zina “Managing Director” mtanzania. Hakuna.

Lakini kampuni hizohizo utakuta zimeweka “Board Chairman” mtanzania, tena mwanasiasa, kitu anachokikataa Bashe. Spika mmoja wa Bunge aliwahi kuwa “Board Chairman” kampuni moja kubwa hapo nchini hadi aliposakamwa kuhusu "u-board member wake" akawajibu wanaomsakama kwamba “wana wivu wa kike”.

Huyu ni mwanasiasa na nafasi yake huko haikutangazwa kwala ugombewa bali aliitwa na kupewa kwa vigezo viijuavyo hiyo kampuni na kampuni kubwa sana hadi leo ipo. Na iliendelea na mtindo huohuo wa kupata wanasiasa kuwa "ma-Board Chairman".

Lakini tujiulize. kkwa nini hawa kampuni binafsi kwenye Board wanaweka watanzania lakini executive director hawathubutu kuweka mtanzania?

Mtokeo yake hakuna mtanzania unayemsikia kuwa ni “Managing Director” kwenye hizi kampuni binafsi.

Sababu nimeshaisema nayo ni kwmaba bodi nyingi ni kama rubber stamp tu ni kama hazina kazi kwani kazi kubwa wanafanya executive directors yaani Managing Director, Finace Director au Operations Director.

Na siku hizi kazi zinafanywa na "oustsource companies" wanawekeana KPI agreement maisha yanakwenda.

Hivyo ukiwadanganya watu kwamba kwenye bodi za kampuni biafsi kuna watanzania wenzenu na sisi tunapofuka kama wajinga tukijidhani eti watanzania nao tuna maamuzi katika kampuni binafsi kumbe ni change la macho.

Hivyo, hata huko private sekta anakokusifia Bashe bado kuna uozo uleule kwamba appointments bado ni za kuteuliwa kama serikalini wala hakuna interview au tangazo lolote.

Ongezeeni mnayoyajua tukijua tunajadili hatima ya shirika letu TTCL na mengine
-------------------
Mkuu Subiri jibu...
umeandika mambo meengi mazuri ila nina machache ya ku share hapa:

1.Mkampuni Mengi ya private yanachagua board member Au chairman..lengo kuu ni la kisiasa ili kuweza kupenyeza ajenda zao serikalini,yaani kampuni hizi binafsi zinapomchagua mwanasiasa ni kuwa wanajua anaweza kuwasiadia tunaita Political organisation...mambo kama sera,namna ya kupenyeza issues zao sewrikalini/wizarani lazima wamuweke Mtu ambae amekaa humo na ana connection na watu wengi Serikalini ili baadhi ya mambo yao yanayohusiana na biashara yao yaende...mambo kama Bei,kodi,fursa,upendeleo.exemption,sheria nk,nk.

2.Makampuni mengi ya serikali na Private...BODI/Mwenyekiti wa Bodi ana mamlaka makubwa sana na anamsulubisha MD,YAANI MD Anaripoti kwa Bodi,MD ambae anaelewa biashara vema anawakilisha ripoti zake kwa bodi,na bodi nyingi watu sio expert sanaa kwenye hiyo ajira haya ni maajabu nafikiri nowdays mfumo umebadilika haswa Nchi zilizoendelea

3.Nafasi za MD Kwa private huwa hazitangazwi ila nafikiri wao Private wanachagua huko huko toka kwao either anakuwa kwenye the same Group of company,anakuwa Promoted Kwa kufanya jambo fulani.

4.Directors, private company nyingi hawaweki Mtanzania kuwa Mkurugenzi ingawa watanzania wanaweza...ila kiukweli ni vema nafasi zitangazwe watu washindanishwe interview....
 
TTCL au hata TANESCO ikubali na iendane na hali ya sasa. HUwezi kuwa na kampuni kubwa imesamba anchi nzima ukaweza kui-manage hata kama inasimamiwa na Waziri anachokipinga Bashe au hata ikisimamiwa na “tresures registrar” anavyopendekeza Bashe.

..mbona kuna makampuni makubwa yamesambaa dunia nzima na yako managed vizuri tu?

..kwa maoni yangu, ttcl mpya inapaswa kulenga soko la Tz, na baadaye inyakue masoko ya nje ya mipaka yetu.

..Mh.Bashe ana hoja nzuri pale anaposema watumishi wote wa ttcl wapatikane kwa njia ya ushindani.

..kwa mfano, kunatakiwa kuwepo na mchakato wa ushindani wa kumpata mtendaji mkuu wa ttcl. mchakato huo utaishia na waombaji watatu na waziri mwenye dhamana atateua mmoja wao. na nafasi hizo ziwe za mkataba.

..nafasi za wakurugenzi chini ya mtendaji mkuu nazo zinapaswa kuwa za ushindani na bodi ya wakurugenzi ya shirika itateua miongoni mwa waombaji watatu waliofanya vizuri.

NB:

..hata mimi umenichanganya kidogo kuhusu matumizi yako ya neno "outsourcing."

cc NOD
 
Msiojua neno "oustourcing" bahati yenu ni kwamba tunaandika humu kwa ID za bandia lakini fahamu kwamba ni aibu isiyoelezeka kama ungekuwa umeandika jina lako halisi halafu wote mtandaoni tunakuona katika Tanzania ya leo hujui maana ya "outsourcing".

Ndiya maana mwenzako nimempa pole kutokana na ulimwengu anaoishi hadi asijue "outsource level" tuliyofikia Tanzania.

Na wengi wenu mnaodiriki kusema hamjui "outsourcing" nahisi ni wafanyakazi mlioko serikalini maana hata cooments zenu zimekaa kiserikaliserikali na kama ni hivyo poleni sana.

Kwa sababu mada ni TTCL kama hujui "outsourcing" tafuta mfanyakazi yeyote wa kampuni za simu unazozijua hata kama ni wa ngazi ya chini kabisa, atakufundisha nini maana ya "outsourcing".
 
..asante.

..tuko hapa kuelimishana na kuelekezana.

..ulipaswa kunielimisha kuhusu dhana ya "outsourcing" na siyo kunielekeza kwenda kuuliza kwenye makampuni ya simu.
 
My original post was very clear on the meaning of "outsource"...

...Hii ni “outsource” usichanganye na “subsidiary”. Maana “subsidiary” ni kampuni ndogo bado inamilikiwa na kampuni mama...

...“Outsource” ni kampuni nyingine kabisa. Natoa mfano mdogo unielewe. Zamani kampuni zote zilikuwa zina section ya ulinzi au usafi. Siku hizi ulinzi siyo section au department bali ni kampuni kabisa inajitegemea na ina director wake. Ndiyo hizi security companies...

...Tena hata nawa wamechoka siku hizi na nimesema kwamba wame-split kampuni na kugawa kazi katika vikampuni vidogovidogo vinavyoitwa “outsource”. Ndiyo hawa akina EROLINK, HUAWEI nk...
 
Nilimwelewa Bashe na wewe nimekuelewa sasa sijui mkutanishe au ili tufikie muafaka. Namlaani aliyempeleka Lusinde bungeni ona sasa...watu kama hawa ndo wanastahili kuwa pale hoja zipangwe vyema.
 
Kaka,

Sina haja ya kwenda bungeni tena kuna mmoja ni kama amenitukana leo kuniita mimi mtu wa LUMUMBA wakati sipendi kuwa mwanasiasa wa Tanzania.

JF na forum zote zipo kwa ajili ya watu kama sisi, Bashe unaweza kumpelekea hii post au mwite aje asome.
 
Kama Bashe yupo humu hebu mtag hii kitu yule ni mwerevu akisoma anaweza chakata mambo.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom