Wizzo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 723
- 255
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yeye anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf,
Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?
Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?