Ninampango wa kuanzisha Blog yaku download mavituzz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninampango wa kuanzisha Blog yaku download mavituzz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by asif, Sep 23, 2011.

 1. a

  asif JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  TO ALL!!!!!
  Dear ALL,
  Ninampango Wakuanzisha Blog Yangu Binafsi Which Will Enable All users To download Very Fast LInks.
  The Blog WIll Be Having the Following..
  1.Technology News
  2. Games (fast downloading)
  3.Softwares (fast downloading)
  4.Torrents (.....)
  5. ebooks (fast downloading)
  6. Video Training ( ccna,adobe after effect ) video training is like online training...
  7. New release Movies

  lakini i wont be able to do this without your support.... nipeni mawazo yenu. as i am only doing this for my Fellow People Who wants to learn ..
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  aaaagh!
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,808
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  sasa blog ndo sehemu ya kudownload? Kama wataka website itakayowezesha watu kudownload vitu kama hivo unahitaji hosting ya unlimited. Na sjui unauelewa vitu kama torrent vinahitaji pia u host tracker. It is not easy kaka website maarufu za vitu kama hivo ie, brothersoft softonic au cnet hazitengenezwi na mtu mmoja bali linakua kundi la watu wanaungana wanacreate strong script then kwa kushirikiana wanatengeneza
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  [h=2]Ninampango wa kuanzisha Blog yaku download "mavituzz"[/h]Duuh!!! nilishtuka kidogo nkaja mbioooooo... hehehehe!!!
   
 5. a

  asif JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  okay.. thxfor the support.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nice idea but mhhh too ambitious to me .
  My observation show that IT peole just focus on technology . We dont put much effort and time on planing and doing detailed analysis of the system we want to develop and put in place . We just concentrate on the implementation.

  At the end of the day u find u have something very goood but u dont know or u strugle to to get people to come and use it. Its because u skiipped or ignored analysis phase. kama issa michuzi alikuwa sucesful bila kufuta njia hizo u can not be gurranteed kila mtu atapata watu tena miaka hii ambayo hata fomr four leaver anaweza anaziha blog.

  Mfano mimi am a fan of almost everthing ulichotaja kwenye list t yako ya vitu saba. But as intemediate user I already now some links.

  So ili kuanza kupata base ya watumiaji may be ungeanza na vitu vichache kama vitabu. na video za masomo Na Kuanza na vitabu na video za masomo tu tu haitoshi. Tafuta walimu wa vyuo kama viwili au vitatu waujulishe ni vitabu gani wanatumia na ambavyo ni kaikupatikana. Waambe walimu wawaambie wanafuzi wao kuwa wanawea kupata vitabu hivyo kwenye blg yako.

  Trough wanafunzi na walimu wa utaweza kuanza kutengeza visitors base nzuri na stable zaidi. So before implimenation plan carefully anza na scope ndogo inayolenga kundi fulani (Walimu, wanafunzi)

  Kwa hiyo nakushauri make some conncetion na walimu na wanafunzi wa sekondari na vyuo fanyia kazi need zao then watumie hao kuspred the info. Yaani ukishawishi mwalimu hata mmoja kuref jina la blog yao kwenye presentation utapata matunda. Ukifahamisha na uwanyesha wanfuzi wa vyuo japo sita vitabu wanavyokosa makataba unavyo mhhhhh hata jf tunaweza tusikuone tena teh teh teh

  In summary. Kama ni mtaalam wa IT hata kama unazaaisha ka blog au ka system kokote in a nut SHEL fuata SDLC spend time kwenye analysis .

  ahahhahahhaa hivi kuna game za mavituzzzz. Tutengenze game ambayo ina mavituzzzzz teh teh teh teh
   
 7. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mi nilidhani 'mavituz' ni yale mambo yetu ya ' papapapapapapapapapapapa'
   
 8. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Good idea man hebu check hii hapa
  GSHAYO
   
 9. networker

  networker JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  idea yako nzuri na umeniongezea idea ya kuweka torrents kwenye blog yangu.binafsi nina blog ya kudownload vitu. mostly software,ninatumia jama flani hivi wana host up to 100 mb per file free sasa kwa games ina bidi utafute host mwenye uwezo zaidi.Tz downloads .cheki nadhani iko kama unacho taka fanya
   
 10. a

  asif JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Thankz ... liked the blog...
   
 11. a

  asif JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Thanks.... will try to follow up...
   
 12. a

  asif JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 28, 2009
  Messages: 335
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  kaka nadhani unafananisha blog na websites.... those are 2 different concepts... i guess u shud do abit research on that... anyways thanks fr ur support
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yaaani wewe kama mimi..
   
 14. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #14
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap, its great... Namuunga mkono bwana @mtazamaji kwamba Developers wa hapa sio kua hatuna mauwezo bali ni kua tunapata shida kuunganisha development skills na real-life requirements!

  Your idea is cool, especially if you have great contents kama alivyo issamichuzi (ana contents nzuri ktk speciality yake ya breaking news).... Sasa, je, una nvideo za maana!?

  Kingine ni kua, hzo video kwa kuanzia kama unataka watu waweze kuzi-download, basi inakubidi usianzishe blog kwenye blogspot bali utumie kitu kama wordpress (WordPress › Blog Tool and Publishing Platform) then tafuta theme nzuri for deliverying downloadable products au theme ya blog!

  Changamoto: utahitaji hosting yenye bandwidth kubwa kitu ambacho kitakugharimu.... Labda atusaidie mtu kama kuna gavatar kwa ajili ya videos....

  Kila la heri!
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hivi Issa Michuzi ana content nzuri na yeye?....Huwa sioni kitu mwenzenu!!!!1!
   
 16. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa alikuwa vizuri mwanzo, sasa kwa sababu anashabikia magamba blog yake inakuwa na taarifa nyingi za mambo ya CCM so lazima ishuke kiwango....
   
Loading...