Ni vizuri kuwakumbusha Chikaka Sumuni, ingawa hawasikii wala kuelewa!Hivi ni kweli CCM maana yake ni chama cha Matusi? Inakuwaje wazee wanawaachia hawa jamaa kutamka maneno machafu mbele ya watoto na watu wazima kwa ksingizio cha kampeni? Matusi yenu tumeyachoka ebu twambieni namna ambavyo mmeshindwa kutekeleza yale mliyotuahidi wakati wa ucaguzi mkuu.
Hawa vijana mliotuletea kwenye chama sasa wameshindwa kazi, Jiandaeni kukalia viti vya upinzani mwaka 2015,
Shauriyenu mie nawashauri tu,
Hivi ni kweli CCM maana yake ni chama cha Matusi? Inakuwaje wazee wanawaachia hawa jamaa kutamka maneno machafu mbele ya watoto na watu wazima kwa ksingizio cha kampeni? Matusi yenu tumeyachoka ebu twambieni namna ambavyo mmeshindwa kutekeleza yale mliyotuahidi wakati wa ucaguzi mkuu.
Hawa vijana mliotuletea kwenye chama sasa wameshindwa kazi, Jiandaeni kukalia viti vya upinzani mwaka 2015,
Shauriyenu mie nawashauri tu,