Ninamchallenge Yeyote Anayefikiri ana Wembe Mkali Aje Kuninyoa Tarehe....................

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
PHOTO-BEARDED NCHEMBA3.JPG Wallah Nasema.mbwa yeyote anayefikiri ana uwezo
wa kuninyoa aje Arusha tarehe 16/6/2013!
 
Hivi ni kweli CCM maana yake ni chama cha Matusi? Inakuwaje wazee wanawaachia hawa jamaa kutamka maneno machafu mbele ya watoto na watu wazima kwa ksingizio cha kampeni? Matusi yenu tumeyachoka ebu twambieni namna ambavyo mmeshindwa kutekeleza yale mliyotuahidi wakati wa ucaguzi mkuu.

Hawa vijana mliotuletea kwenye chama sasa wameshindwa kazi, Jiandaeni kukalia viti vya upinzani mwaka 2015,

Shauriyenu mie nawashauri tu,

Ni vizuri kuwakumbusha Chikaka Sumuni, ingawa hawasikii wala kuelewa!
 
Last edited by a moderator:
Mbwa?
Na hiyo midevu yake inanikeraga, acha leo niseme. Angekuwa ana akili i wouldnt have notices. Sorry.
 
huyu bwana muda si mrefu atakuwa jalalani
Ni kweli kabanga. Kuna watu wamepania kumpeleka huko, na wamemwambia ajipeleke haraka kabla
hajabebwa msogamsoga kumpeleka huko.
 
Last edited by a moderator:
Mbwa?
Na hiyo midevu yake inanikeraga, acha leo niseme. Angekuwa ana akili i wouldnt have notices. Sorry.
Pole King'asti kwa kukerwa na midevu inayoota usoni. Umeamua kusema leo kwani siku nyingine unaogopa?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli CCM maana yake ni chama cha Matusi? Inakuwaje wazee wanawaachia hawa jamaa kutamka maneno machafu mbele ya watoto na watu wazima kwa ksingizio cha kampeni? Matusi yenu tumeyachoka ebu twambieni namna ambavyo mmeshindwa kutekeleza yale mliyotuahidi wakati wa ucaguzi mkuu.

Hawa vijana mliotuletea kwenye chama sasa wameshindwa kazi, Jiandaeni kukalia viti vya upinzani mwaka 2015,

Shauriyenu mie nawashauri tu,Bora uwaambie wewe,nikiwashauri mimi huwa wananiita BAVICHA
 
Back
Top Bottom