Ninamashaka nae.....

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Jaman nina mpenz wangu mpya ambaye nimemtongoza sio mda na sijawahi kufanya nae mapenz hata siku moja.kuna siku moja 2likuwa sehemu nzuri inayo 2faa kabisa kufanya mapenz lakn 2likubaliana 2sifanye mapenz coz yeye alisema anaelekea mwezin siku chache baadae so hata kuwa tayar kwa kuhofia mimba.Nikamwambia 2fanye tu coz 2ta2mia condom alicho nijibu alisema KAMWE HATOKUJA KUFANYA MAPENZ KWA KUTUMIA CONDOM MAISHANI MWAKE.na mimi SIKO TAYAR KUFANYA MAPENZ BILA CONDOMS.sasa wana jf nifanye nini kumpenda nampenda ila nahofia kwa nin anagoma kufanya na condom.naomben ushauli coz kesho kutwa ndo 2mepanga 2kafanye mapenz na utata ndo huo...
 
Anakuaminije ilhali umesema ndo mmekutana siku za karibuni?
Usifanye nae, atang'ang'aniaje mapenzi bila kinga kwa dunia ya sasa ilivyo? Ana lake huyo. Vinginevyo kapimeni kwanza!
 
Ahirisha mwambie wewe uko nyotani! LOL

Mwambie unatumia dawa hivyo unamjali ndio maana hutaki kumuambukiza! Bora akukimbie kuliko kukuweka katika risk!
 
Nendeni mkapime. Kwanini ang'ang'anie mapenzi bila condom? Swali la kujiuliza.
 
Nendeni mkapime. Kwanini ang'ang'anie mapenzi bila condom? Swali la kujiuliza.
<br /> <br / nilimtania nikasema unataka kuniangamiza nini?akanuna gafra akasema simuamin
 
Napita tuu hapa. Kwa hali ya sasa mapenzi bila condom na bado unajipendekeza wala kupima hamjapima
Kajilipue kwa mabom ya kabul yakilipuka ukipona poa
 
huyo no kimeo kimbia kama ukoma coz anaweza ataakawa na gono ama ukimwi man kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
nimekumbuka story moja wakat tupo Udsm,kuna mshkaj alimpata demu,sasa wakat washaingia faragha jamaa akachukua jezi zake,dem alimind kichz,akagoma,jamaa akavaa akarud hm!huo ndio ushujaa!na sasa yule demu alishavutaga!kaz kwako mukubwa
 
<br /> <br / nilimtania nikasema unataka kuniangamiza nini?akanuna gafra akasema simuamin

lazima anune mkuu, sio utani huo bali ulimchana live......
kimbia fasta ndugu atakuwa amevaa "explosive vest" hana cha kupoteza huyo!!
 
Jaman nina mpenz wangu mpya ambaye nimemtongoza sio mda na sijawahi kufanya nae mapenz hata siku moja.kuna siku moja 2likuwa sehemu nzuri inayo 2faa kabisa kufanya mapenz lakn 2likubaliana 2sifanye mapenz coz yeye alisema anaelekea mwezin siku chache baadae so hata kuwa tayar kwa kuhofia mimba.Nikamwambia 2fanye tu coz 2ta2mia condom alicho nijibu alisema KAMWE HATOKUJA KUFANYA MAPENZ KWA KUTUMIA CONDOM MAISHANI MWAKE.na mimi SIKO TAYAR KUFANYA MAPENZ BILA CONDOMS.sasa wana jf nifanye nini kumpenda nampenda ila nahofia kwa nin anagoma kufanya na condom.naomben ushauli coz kesho kutwa ndo 2mepanga 2kafanye mapenz na utata ndo huo...

khaaa nini tena mkuu hiyo hapo jibu liko wazi kabisa we piga chini maisha yaendeleee utakuwaje mtumwa wa malovee mkuu..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom