Ninalipenda lile tangazo la kwenye mikanda ya ngono!

Nikiwa kwenye usafiri wa jumuia nakua mpole simu kwenye pochi maana kuna siku nilikua busy kuchungulia mada JF kumbe kuna jamaa nyuma yangu anakula chabo mara simu ikazima,katika kioo cha simu nikaona mtu macho kodo busy kwenye simu yangu kugeuka tukagongana vichwa.

Kuna watu wana hamu za kujua ID za wenzao ila wao wasijulikane aiseee
ungem-headbutt mkuu...
 
Siku moja desktop ya boss iliharibika ikabidi niitwe mtabe nisolve, baada ya kumaliza nikacheck net kama ipo nikafungua JF kucheck nikaona kasaini in kwa id flani nikaenda kwenye thread zake nikaona mshirika mkubwa wa MMU wakati wananchi pale tunatoa salute..nikamtafuta somewhere amecomment ujinga nikampa makavu japo alireact bila kujua mm namfahamu.
Salute JF
 
Nikiwa kwenye usafiri wa jumuia nakua mpole simu kwenye pochi maana kuna siku nilikua busy kuchungulia mada JF kumbe kuna jamaa nyuma yangu anakula chabo mara simu ikazima,katika kioo cha simu nikaona mtu macho kodo busy kwenye simu yangu kugeuka tukagongana vichwa.

Kuna watu wana hamu za kujua ID za wenzao ila wao wasijulikane aiseee

sku ile nilifurahi sana kukuona
 
Sijawahi kuona channel ambayo inaruhusu hilo legally kwenye king'amuzi...hata Dstv sijaona hilo

Labda useme Internet imechangia kwa uwepo wa website yenye mambo hayo
Mkuu huyo mtu kwenye avatar yako ni mtu mzima au mtoto?! Hahahha
 
Aisee hata mie najiona mzuri kweli mpaka najionea wivu
18381795_1321610801248533_3450177212043493376_n.jpg

Ule usafiri ndio mzuri kwa kudaka umbea na habari za mujini. Uache chabo bana unatubana wengine tunaopenda kuwa busy na simu

eeh! na ndio kaz yangu kwenye daladala, had whatsup, Ig hata Fb huwa nachek si jf tu
ila skuamini macho yangu, uko vizuri mpaka hustahili kupanda gari kama ile jaman.
 
Wapendwa,

Kwenye ile mikanda ya ngono huwa kuna warning wanasemaga, 'watu utakaoenda kuwaona humu, huenda unawafahamu, aidha aweza kuwa ni dada ako, shemeji yako au hata msichana wako' kwa hiyo unachokiona humu inabidi uwe tu mvumilivu'.

Hilo tangazo lina apply in the real life... Watu tunaochat nao humu JF, pengine ukute ni marafiki au ndugu wa karibu au hata mtu na bosi wake. Kitaani tunaheshimiana ile mbaya, ila humu ndani tunavyopeana makavu.

Mmh, yani siku mtu ukija kujua kuwa mtu flani ulimrushia bonge la kichambo afu ukute ndio mjomba wako au ukute mmetongozana humu alafu kuja kuonana kitaa unakuta umemtongoza dada yako, shemeji wako au hata msichana wako aibuuu!.
Hembu weka hata kavideo kamoja basi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom