Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.
msidanganyike tangu line mwigulu akaongea vizuri hivi, hata hivyo atajifunza kuishi na watu vizuri kuleta mada zenye tija asiendekeze yale ya Rafiki yake Kibajaji Rusinde, awe mwangalifu na wakina ma...m asije tena kuk..twa
 
Wiki Tatu? Serious? what the ****? JKT - Jeshi la Kujenga Taifa? Three Weeks? Real? You must be joking...!
 
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya! He is btn 35-37 mzee Huyu?
Jifunze kuquote mkuu unanichanganyia habari tu hapa!!! Hakuna mtu anayekuwa na umri kati ya 35-37, ni either 35, 36 or 37. Hii habari za btn siyo lugha kuelezea umri mkuu!!!!
 
Watafanya miezi sita kwa sasa, ila hawa waHeshimiwa nasikia wanaenda Wiki 3 tu.

Nchi hii kila kitu VODAFASTA, tulianza waalimu, majaji, baadaye madereva, baadaye waendesha pikipiki, sasa JKT. Nchi inaangamia, tuache utani.

Hata Mgambo haikuwa hivi, mgambo ilikiwa intake moja miezi sita, hawa miezi mitatu.
 
Wiki Tatu? Serious? what the ****? JKT - Jeshi la Kujenga Taifa? Three Weeks? Real? You must be joking...!

My dear man.......its as joking as this......huyu bora angeenda "chuo cha mafunzo" Unguja!

SDC12240.JPG
 
Hongera Mheshimiwa. Nitakuona mzalendo kweli kama utavaa ile skafu yako ya bendera ya taifa huko jkt!
 
Kwanza nikukumbushe kuwa wewe siyo kijana, PILI nenda JKT labda utaweza kufumbuliwa macho upate uzalendo ndo ufahamu kuwa CCM ni chama kisichotufaa hata kidogo ktk nchi hii na chapaswa kufutwa ktk ramani ya siasa. TATU labda utajifunza kuongea kwa hoja badala kutukana matusi yalokujaa mdomoni.

Lakini kubwa kuliko yote ni kuwa JASIRI HAACHI ASILI. Utabaki yule yule kwani mbwa mzee hawezi kufundishwa mbinu mpya!

Love it kaka
 
Mods nimemuuliza MWIGULU kama uko JKT atajifunza jinsi ya kuheshimu wake za watu naona mmeitoa sasa unachoficha ni nini mimi nadhani unataka kupoteza maana ya JF muache atuambie kwani si ni wazi uko IGUNGA alifumaniwa na mke wa kada mwenzie au mods ulikuwa haujui?basi ndio taarifa nakupa.
 
Bora uende huko huenda ukirudi utakuwa umepata hekima, busara na uvumilivu kwani vitendo vyako na maneno yako kwa nafasi yako ndani ya bunge na kwenye majukwaa ya kisiasa vimeshindwa kukupambanua kwa kukuonesha kuwa wewe ni msomi mchumi daraja la kwanza na kiongozi wa juu anayepaswa kuchanganua na kupambanua mambo kitaalamu, kiyakinifu na kisomi zaidi. Tunategemea ukae huko si chini ya miezi 6, wiki tatu hazitasaidia!
 
Nakutakia mafunzo mema mwana Complex mwenzangu , nakukubali kwa namna moja lakini sometimes unaboa kwa kuzungumza zaidi watu hasa wa CDM bila kujenga misingi ya hoja, waTz tunakabiliwa na mambo mengi yanayohitaji fikra komavu kuyatatua, tumia ujana wako kupambana na vitisho vya kimaisha vinavyowakabili vijana wa kitz, i do hope ukitoka JKT utakuwa umegain something new, ni hayo.
 
Just imagine ukielekea chooni lazima ukimbie huku ukiimba "UP UP UP!!!!!" Wakati unakamua king'amuzi kimya. Ukimaliza na kutoka unarudi hangani lazima uendelee kuimba "UP UP UP UP UP UP!!!!"
 
Mwanasiasa atabaki kuwa mwana-si-hasa tu!! Hadi uone jamaa alivyokuwa arrogant anaaga kwa heshima na adabu ujue hii kete ya JKT wanaCCM wanataka kuitumia kuongeza credit kwa chama na mtu binafsi!!
 
Gud luck to you, kajifunze maadili ya kuweka utaifa kwanza na chama baadaye
 
hakuna kitu wiki tatu habadiliki kitu atakua zuzu tu kama alivyo,mafunzo ya kijeshi yako namna hii kuna kaki pindi fulani ka kama mwezi hivi ka kupitia kitu wanaita UZALENDO,ukitoka hapo kuna kalinye kalinye la wiki 6 bila kulala,ukisema utaka wiki 3 ina maana hata wiki 6 hujamaliza,una kua huja iva,hakuna kitu utakacho jifunza,tuache utani bana aaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom