Ninakutakia Birthday njema Mh Sugu " Rais " wa Mbeya , Mungu akupe maisha marefu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,563
217,871
Heri ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa Mhe. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mji.jpg


Ikiwa leo ni Mei Mosi , wananchi wa Mbeya wamebahatika kuwa na Sherehe mbili kubwa , moja ni siku ya Wafanyakazi Duniani na nyingine ni siku ya kuzaliwa Mbunge wao , mtu pekee aliyefanikiwa kukata minyororo ya utumwa waliyofungwa wananchi wa Mbeya kwa miaka mingi mno .

Amefanikisha kurejesha halmashauri mikononi mwa wananchi wenyewe.

Mungu aendelee kumlinda .
 
We una nini hpo
Wkt bado unakaa kwa shemeji yko
Hku usiku unaskilizia miguno tu ya kwao

Ova
Unijui sikujui endelea na dharau yako...

You are far stronger than you think you are. You may not look it or feel it, but God always uses the weak things of this world to confound the wise and mighty.
#supernaturalincrease
 
Akirudi nistue !
Nimerudi, tatizo la wa Tanzania wengi ikiwa pamoja na viongozi wake hawataki kupokea ukweli, nimesema na nitaendelea kusema sugu ni zero Kama msukuma na tulia wote wanajaziba na kujifanya wajuaji Kama magufuli.....
 
Nimerudi, tatizo la wa Tanzania wengi ikiwa pamoja na viongozi wake hawataki kupokea ukweli, nimesema na nitaendelea kusema sugu ni zero Kama msukuma na tulia wote wanajaziba na kujifanya wajuaji Kama magufuli.....
Sugu alikupigia nini maana syo kwa povu hili

Ova
 
Back
Top Bottom