Ninakodisha Gari kwa matumiz ya OFisi au Kampuni kwa Mwanza

frnk

Senior Member
Jun 19, 2012
160
12
Habari wakuu,
Nina gari yangu Chaser avante gx100, nahitaj sehem ya kuikodisha kama ofis, hotel au popote pale angalau iweze nisaidia kidogo kujiaptia kipato..

Gari ipo katika hali ya upya ina Ac, fuel consumption yake ni ya kawaida ina vvti engine. pia nimeifanyia service ya kutosha kwa ajil ya kaz haijawah fanya tax, pia ninatoa na dereva wangu.
Mie napatikana Saut-Nyegez.
Contact 0719 075175.

Ahsanteni.
 
Je nikihitaji kuliendesha mwenyewe inakubalika?
 
Back
Top Bottom