imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,677
- 71,034
Huu ndio wakati muafaka wa kuzifuta sheria kandamizi na zile zisizotekelezekaNdo mnakujaga kujuta baadaye kwa sheria uliyoitunga ukidhani unamkomesha fulani au hutaguswa nayo... JPM alikiri hadharani kwamba aliiunga mkono sheria ya viongozi kuzikwa Dodoma lakini hakujua kama angekuwa Rais. Alipopata urais akasema mwili wake haiwezi zikwa kwa wagogo