Ninakaa kitako dakika tano kwa jili ya jf utawala na (jukwaa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninakaa kitako dakika tano kwa jili ya jf utawala na (jukwaa)

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mansakankanmusa, Jun 12, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,091
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Ni kawaida kusimama kidogo japo dkk moja linapotokea tatizo hasa msiba. Ni kawaida vilevile kutoa shukran pindi unafanyiwa hisani, pia ni kawaida unapopewa idara ukawa mwandamizi(in charge) kuona kuwa unaita wanao idarani na kupongezana, ama kurekebisha jambo lililojiri

  leo hii asubuhi nilitaka nifanye hili kabla bunge la tanzania halijaanza kazi, niuleze uongozi wa jf lililomoyonimwangu, post zangu, komenti zangu inawezekana zimekuwa kero, hamasa au changamoto kwenu kwa aidha maneno makali, mabaya na kadhalika, nimekaa nikawaza pia kwamba mumenivumilia sana na badae nikaona nimewekewa senior member wa jf. kwa hilo ingawa sijui ilimaanisha nini lkn mimi nimefurahi na washukuruni sana.

  kwa hiyo basi narejea kusema JF ni chuo kikuu kwangu, nadhani degree ninayo master nitaipata karibuni mumu humu jf.

  kwa upande wa wenzangu wachangiani kwa kupost ama kujibu, kupenda kupitia mnisamehe sana, nilikuja kugundua siku flani kwamba jf inapitiwa na hata serikali za jamhuri, viongozi, wanataluuma, wasomi, na kadhalika. Hii kwangu ni shule kuu, nilijuaje sitasema hapa. maneno yooote yaliyokuudhi namkumbuka mtu mmj tu tena kwa avator yake jina sikumbuki alikuwa nanifuata sana, nikamwambia, sijajua nilimuudhi au vip ingawa post zangu zilihusu jamii yote si mtu mmj mmj.

  mwisho nimetumia dkk5 kukushukuru wewe team ya jf. kwa hili, hili katika jukwaa na pekee ninamotegemea kudumu kwa uhai wa jukwaa au hata mimi mwenyewe, au mimi mwenyewe halafu jukwaa, kwa hayo machache niishie kusema asantenisana,

  nawapenda sana wale wenzangu wa kukosoa kwa mipini majembe, maneno ya kuumbua mna nikosha sana.

  kazi njema
   
Loading...