Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,736
2,295
Wakuu Nimejenga nyumba ya ghorofa 1 Bunju B kuanzia 2017 Ila sifurahii kukaa kwangu. Tatizo Ni nini?


images (1) (10).jpeg

 
Furaha huletwa na vitu vingi maishani na pia inaweza kuondoshwa na vitu vingi. Unaweza ukawa na gari na nyumba n.k ila ikatokea kuna mambo yakawa yanakunyima furaha mpaka ukaona ulivyonavyo si kitu kabisa. Muhimu kaza moyo na ndo maisha yalivyo hakuna mwenye vyote dunia hii, hata ambao wanafuraha hawa hizo nyumba au magari.
 
Furaha haitoki nje ya nafsi yako Bali inatoka ndani ya nafsi yako.
Furaha ya ujenzi ama kupata kitu fulani maisha like mke watt kazi pesa gari cheo ama kula mbususu tamu Sana huwa inaisha ndani ya muda fulani like one or two years still you fill empty in your soul.
Listen hata upate Nini bado you will a hole unfilled in your heart.
Huwa tunapata hizo external validation of our value.
We feel inadequacy kisa Sina gari or nyumba Ila ukishapata hata Kama ni kazi unalipwa mamilioni later unajiona nothing special
 
Back
Top Bottom