Ninaipongeza serikali ya Uingereza kwa kuwavumilia Watanganyika

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,590
22,200
Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango cha chini sana sana kisicho na maumivu, huyo ndiye mkoloni mweupe tofauti na mweusi.
 
Mweusi anachojua ni kuua na kufunga
 
Nyerere alifikishwa makakamani wakati wa mkoloni na wananchi waliruhusiwa kuhudhuria bila sulubu zozote na aliposhinda kesi wananchi waliruhusiwa kumbeba ikiwa ni ishara ya ushindi, Mungu wabariki wakoloni.
Aione sirro the zero brains!
 
Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango cha chini sana sana kisicho na maumivu, huyo ndiye mkoloni mweupe tofauti na mweusi.
Mzungu ni mzungu tu, ingekuwa wakoloni ni weusi kama hawa wetu ndiyo wanatawala wakati huo Mwalimu angevunjwa miguu yote na kumtoboa macho asione.
 
Walikuwa na huruma na busara, kwani ukishinda nje ya mahakama unaangalia magari na watu wanaopita kunaathiri nini mwenendo wa kesi ndani ya mahakama? Mungu wabariki wakoloni.
Ila CCM ni mashetani wakisaidiwa na Polisi

IMG-20210811-WA0021.jpg
 
Mkoloni mweupe hakutaka kuendelea na enzi za ukoloni wa kutumia nguvu.
Wazungu nchi zao zinaendelea kutokana na kuwathamini wananchi wote bila kujali mapenzi ya vyama, huku kwetu viongozi wakuu wa nchi ndio wanaochochea chuki dhidi ya wananchi wasio wapenzi wa vyama vyao.
 
Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango cha chini sana sana kisicho na maumivu, huyo ndiye mkoloni mweupe tofauti na mweusi.
Kuna umuhimu wa Historia za nchi kuwekwa sawa kwa wananchi. Kuna hadithi inasimuliwa Tanganyika haijawahi kuwa koloni la Uingereza, bali Wajerumani. Ni baada ya "scramble of Africa" tunaambiwa Tanganyika ilikuwa katika Uangalizi wa Uingereza mpaka pale itakapokuwa na uwezo wa kujitawala yenyewe. (British protectorate not Colonial). Nyerere alienda UN kuwaeleza sasa tuko tayari ndio maana hatukumwaga damu kulidai taifa. Kuna taarifa baada ya miaka 10 tuliwaita waje waone maendeleo yaliyopatikana kama uthibitisho wa kuwa kweli tulikuwa na uwezo wa kujitawala wenyewe. Sijui kama kuna ukweli kiasi gani ni hadithi zinasimuliwa.
 
Nina uhakika wa 100% kama tungekuwa chini ya mkoloni mpaka leo, Tanganyika ingekuwa inaongoza kwa maendeleo Afrika. Na nina hakika katiba ingekuwa inaheshimika na uhuru wa watu ungepewa thamani kuliko ilivyo sasa.

Kuna kisiwa kimoja Afrika, walipewa chaguo wawe huru au waendelee kuwa chini ya Mfaransa, baada ya kuangalia nchi nyingi za Afrika zilivyo, wakaamua kuendelea kuwa chini ya Wafaransa, na sasa ni jimbo la Ufaransa.

Tungekuwa huru kabisa, tupewe haki ya kuamua, kwa huu utawala wa CCM, hakika maradufu ni aheri tungefanywa kuwa jimbo la UK au Germany. Maana kwenye uhuru hakuna tulichofaidi zaidi ya udhulumati wa watu wachache dhidi ya walio wengi. Viongozi tunaowapata, akili ndogo, hawana vision, hawana uelewa, wamejaa unafiki na ukatili. Ni hasara tupu.
 
Back
Top Bottom