MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
- Thread starter
- #181
Huwezi kupambana na ukweli!Endelea kunifariji wembwa
Huwezi kupambana na ukweli!Endelea kunifariji wembwa
Ukweli? wa kujipa faraja?Huwezi kupambana na ukweli!
Mkuu hoja yako ingekuwa na nguvu kama wote wanaojounga au kuhamia ccm kama wangekuwa viongozi.kama watu laki moja wakiamia ccm ukweli ni kwamba watakao vikiriwa kupata kazi au cheo hawatazidi 50.hivyo ni wazi msukumo sio vyeo ila ni usahihi wa sera kwa wakati muafaka.Kinachotokea sasa c mapenzi kwa chama ni unafik wa kujipendekeza, kutafuta vyeo na kutib njaa. Hao hao wanaovaa nguo za kijani na kupita mtaani ndo hao hao wanaolalamikia hali ngum ya maisha huku wakimsifu na kumsujudia mwenyekiti wa chma. Mwaka 2015 CCM isingeweza kushinda uchaguz km ungekua wa huru na haki ilitumia nguvu nying sana kuiba kura pamoja na kudhibit tume ya uchaguz ili isipoteze dola. Kwa vile sasa imeshashika dola haitak tena upinzan km ule uwepo next time ndo maana inajitahid kuua upinzan kabsa. Wengne sasa wapo CCM coz wanafata ile slogan " if you can't defeat them join them" ili mrad tu maisha yaendelee km mwanzo. Maana saiv Tz ukionekana ni mpinzan utaish maisha ya jehanam dunian.
Mkuu amin usiamin viongoz wote wanaohama vyama vyao saiv nia yao inafanana either mkuu awaone wanamuunga mkono awatunuku vyeo vingne au wapewe nafasi ya kugombea kupitia ccm maana wanajua watatangazwa washindi tu ata wasipo shinda na ukishakua mbunge wa CCM una guarantee ya kua kwenye hiyo position muda mrefu sana tofaut na upinzan. Wengne wanataka mambo yao ya kibiashara au kisiasa yaende vizur in a smooth way simply bcoz rais anafaham wanamuunga mkono. Ndo maana tunaona kila mtu especially wateuliwa na hao waliohama vyama kutwa kucha kumsifia rais. Mfano wengne wameshahama na walipohama walisema wamehama kwa sabab gan muda umeenda wameona kuhama kwao hakuja kik sana kaamua tena kuita vyombo vya habar Kumkumbushia mh. kua na yeye kahama.Mkuu hoja yako ingekuwa na nguvu kama wote wanaojounga au kuhamia ccm kama wangekuwa viongozi.kama watu laki moja wakiamia ccm ukweli ni kwamba watakao vikiriwa kupata kazi au cheo hawatazidi 50.hivyo ni wazi msukumo sio vyeo ila ni usahihi wa sera kwa wakati muafaka.
Wakati wimbi la watu walipokuwa wanakimbilia chadema walikuwa hawafati kupata vyeo ila sera sahihi ya kipinga ufisadi iliwapa ujiko watu wakaona ni chama sahihi,leo wameacha sera ya ufisadi watu wanawakimbia hivyo ukitafakari utaona wazi kuwa ukiwa na sera sahihi utafuatwa.
Maisha yako yatarefuka!Kujifariji kunasaidia kurefusha maisha. Amen
Kama kusoma huwezi, hata kuangalia picha huwezi?unaweza kutuambia mtaalamu aliyemshauri Magufuri wakati wa kampeni asitaje neno CCM au ni maneno yako ya kuokota vijiweni
Kutoweka kwa viroba kumeleta usitarabu katika siasa hasa wakati wa uchaguziKinachotokea sasa c mapenzi kwa chama ni unafik wa kujipendekeza, kutafuta vyeo na kutib njaa. Hao hao wanaovaa nguo za kijani na kupita mtaani ndo hao hao wanaolalamikia hali ngum ya maisha huku wakimsifu na kumsujudia mwenyekiti wa chma. Mwaka 2015 CCM isingeweza kushinda uchaguz km ungekua wa huru na haki ilitumia nguvu nying sana kuiba kura pamoja na kudhibit tume ya uchaguz ili isipoteze dola. Kwa vile sasa imeshashika dola haitak tena upinzan km ule uwepo next time ndo maana inajitahid kuua upinzan kabsa. Wengne sasa wapo CCM coz wanafata ile slogan " if you can't defeat them join them" ili mrad tu maisha yaendelee km mwanzo. Maana saiv Tz ukionekana ni mpinzan utaish maisha ya jehanam dunian.
Hata wewe una haki na uhuru wa kutafuta kiki!Sasa hivi naiona CCM inayotafuta kiki kwa kutumia familia ya wabakaji na walawiti. Aibu.
kwa sasa mmekuwa wababe wasilaha na sio hoja kama tulivozoea mkizomewa mnakata watu kwa mapanga maana polisi Ni wenu na mahakama Ni zeyjukwaani kwasasa hamna jipya nao maana mkapiga marufuku mikutano ya siasaKusema ukweli Rais Magufuli kaibadili CCM.
Sasa hivi watu hawaoni aibu kujihusisha nayo au kujitambulisha kuwa ni wana CCM.
Jambo jingine ambalo nimeliona ni kwamba, siku hizi watu wanaona aibu kujihusisha na/au kujitambulisha kama CHADEMA.
Ukimuuliza mtu kama yeye ni kamanda [CHADEMA], jibu unalopata ni ‘mimi sina chama’.
Mbowe kakiharibu kabisa hicho chama. Kakiuza chama kwa mafisadi na kukifanya kipoteze kabisa mamlaka ya kimaadili kilichokuwa nayo kabla ya Julai 2015.
Sasa hivi CHADEMA sucks. It’s a joke of a party with no clear purpose or direction!
kwakweli ccm na magufuli wanacho fanya ni kuwapiga changa la macho International comunity ili waonekane ccm wanapedwa pindipo wakiiba kura 2020 isiaminike kama wameibaKinachotokea sasa c mapenzi kwa chama ni unafik wa kujipendekeza, kutafuta vyeo na kutib njaa. Hao hao wanaovaa nguo za kijani na kupita mtaani ndo hao hao wanaolalamikia hali ngum ya maisha huku wakimsifu na kumsujudia mwenyekiti wa chma. Mwaka 2015 CCM isingeweza kushinda uchaguz km ungekua wa huru na haki ilitumia nguvu nying sana kuiba kura pamoja na kudhibit tume ya uchaguz ili isipoteze dola. Kwa vile sasa imeshashika dola haitak tena upinzan km ule uwepo next time ndo maana inajitahid kuua upinzan kabsa. Wengne sasa wapo CCM coz wanafata ile slogan " if you can't defeat them join them" ili mrad tu maisha yaendelee km mwanzo. Maana saiv Tz ukionekana ni mpinzan utaish maisha ya jehanam dunian.
Huwezi kupambana na ukweli!
Mkuu hoja yako ingekuwa na nguvu kama wote wanaojounga au kuhamia ccm kama wangekuwa viongozi.kama watu laki moja wakiamia ccm ukweli ni kwamba watakao vikiriwa kupata kazi au cheo hawatazidi 50.hivyo ni wazi msukumo sio vyeo ila ni usahihi wa sera kwa wakati muafaka.
Wakati wimbi la watu walipokuwa wanakimbilia chadema walikuwa hawafati kupata vyeo ila sera sahihi ya kipinga ufisadi iliwapa ujiko watu wakaona ni chama sahihi,leo wameacha sera ya ufisadi watu wanawakimbia hivyo ukitafakari utaona wazi kuwa ukiwa na sera sahihi utafuatwa.[/QUOTE
Sasa hvi ni wangapi wanathubutu kuhama ccm kiwaziwazi? sasa hivi ni fashion kuhamia ccm hadharani kwani usalama wako uko juu. Umesahau mgombea wa ccm kinondoni aliye sema sasa hivi atatembea na gari kioo kikiwa chini maana ukiwa ccm huwezi kushambuliwa na risasi?
Mkuu kabla hujaanza kutoa lawama soma hii linkMkuu hii post yako inaanza kuchina ikiwa bado front page. Umesikia mgombea wa udiwani wa cdm huko Kagera ametekwa? Alipewa sh 8m aachane na hiyo kata akakataa. Katika mazingira hayo utaacha kuona ccm sasa hivi inakubalika?
Mkuu kabla hujaanza kutoa lawama soma hii link
LINK>>>> Kuhusu kupotea kwa mgombea wa CHADEMA-Muleba