Ninahitaji Tshs 400,000/= Chukua vifaa vifuatavyo

Nalonga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
225
53
Habari Wadau,kama title inavyozungumza hapo juu.....
Nahitaji Tsh.400,000/= ili nikukabidhi mzigo wote huu hapa chini.

1.HARD DISK 250GB YA DESKTOP

2.TWO FLAT SCREEN DISPLAY ZINAWAKA LAKINI HAZILETI SIGNAL SIJUI TATIZO NI NINI
3.1 LASER JET PRINTER 1100 INAFANYAKAZI HAINA WINO
4.1 A3 SCANJET INAFANYAKAZI
5.2 DESKTOP MOTHERBOARDS WITH PROCESSOR NA FAN (PROCESSOR 3 AND 2.7GHZ
6.1pc COMPUTER CASING WITH POWER SUPPLY AND COMBO DRIVER.
7.1pc OF NETWORK MIN SWITCH WITH 8PORTS
8.1pc CDMA PHONE WITH MODEM.
9.1pc TTCL MODEM
10.KINGAMUZI CHA FTA NA DISHI LAKE…(EUROSTAR)…..
NAPATIKANA TEMEKE MWISHO……FONE.+255 713 59 44 27
NB:
UKIHITAJI ITEM MOJAWAPO TOA OFFER YAKO NJOO UCHUKUE MZIGO……
PIA UNAWEZA KUULIZIA COMPUTER AND NETWORK ACCESSORIES NYINGINE YOYOTE UNAYOHITAJI KWANI NINASAFISHA STORE.....
KARIBUNI.
......KWA KUONGEZEA ITEMS NYINGINE AMBAZO UNAWEZA KUPATA NI
WIRE LESS D LNK ROUTER KWA BEI YA TSH. 80,000/=

SONY PLAY STATION 1 BILA GAME YOYOTE TSH.50,000/=

1TB HITACHI SATA HARDDISK(DESKTOP) IKIWA NA FILAMU ZAIDI YA 100 PAMOJA NA SERIES MBALIMBALI TSH.100,000/= HAPA KWENYE HARDSK NAWEZA KUKUPA ANY GRAPHICS AND STATISTICAL SOFTWARE UTAKAYOHITAJI KWA KUONGEZA 20,000/=

DVD WRITER YA DESKTOP KWA BEI YA 40,000/=
NA VINGINE VINGI JST ASK THEM
KARIBUNI..........MAWASILIANO RAHISI NI NAMBA YA SIMU HAPO JUU.....NAWEZA KUKUTUMIA PICHA YA CHOCHOTE HAPO KUPITIA WHATSAPP.

PICHA ZA FTA dish na Play Station 1
IMAG1673.jpg IMAG1676.jpg

Mi sijaelewa hii sredi, ina maana mtu alianza kuuliza swali kabla mwenye bidhaa hajaweka details?
 
Mkuu nimevutiwa na 1TB hard disk, unaweza kunijuza ni brand gani na series zilizomo kwa uchache, make huo ndo ugonjwa wangu.
 
Habari Wadau,kama title inavyozungumza hapo juu.....
Nahitaji Tsh.400,000/= ili nikukabidhi mzigo wote huu hapa chini.

1.HARD DISK 250GB YA DESKTOP

2.TWO FLAT SCREEN DISPLAY ZINAWAKA LAKINI HAZILETI SIGNAL SIJUI TATIZO NI NINI
3.1 LASER JET PRINTER 1100 INAFANYAKAZI HAINA WINO
4.1 A3 SCANJET INAFANYAKAZI
5.2 DESKTOP MOTHERBOARDS WITH PROCESSOR NA FAN (PROCESSOR 3 AND 2.7GHZ
6.1pc COMPUTER CASING WITH POWER SUPPLY AND COMBO DRIVER.
7.1pc OF NETWORK MIN SWITCH WITH 8PORTS
8.1pc CDMA PHONE WITH MODEM.
9.1pc TTCL MODEM
10.KINGAMUZI CHA FTA NA DISHI LAKE…(EUROSTAR)…..
NAPATIKANA TEMEKE MWISHO……FONE.+255 713 59 44 27
NB:
UKIHITAJI ITEM MOJAWAPO TOA OFFER YAKO NJOO UCHUKUE MZIGO……
PIA UNAWEZA KUULIZIA COMPUTER AND NETWORK ACCESSORIES NYINGINE YOYOTE UNAYOHITAJI KWANI NINASAFISHA STORE.....
KARIBUNI.
......KWA KUONGEZEA ITEMS NYINGINE AMBAZO UNAWEZA KUPATA NI
WIRE LESS D LNK ROUTER KWA BEI YA TSH. 80,000/=

SONY PLAY STATION 1 BILA GAME YOYOTE TSH.50,000/=

1TB HARDDISK IKIWA NA FILAMU ZAIDI YA 100 PAMOJA NA SERIES MBALIMBALI TSH.100,000/= HAPA KWENYE HADSK NAWEZA KUKUPA ANY GRAPHICS AND STATISTICAL SOFTWARE UTAKAYOHITAJI KWA KUONGEZA 20,000/=

DVD WRITER YA DESKTOP KWA BEI YA 40,000/=
NA VINGINE VINGI JST ASK THEM
KARIBUNI..........MAWASILIANO RAHISI NI NAMBA YA SIMU HAPO JUU.....NAWEZA KUKUTUMIA PICHA YA CHOCHOTE HAPO KUPITIA WHATSAPP.

Mkuu visije vikaw vya wizi tu!Hiyi 1TB naitamani kweli!
 
Mkuu visije vikaw vya wizi tu!Hiyi 1TB naitamani kweli!

Wasi wasi ndio akili mkuu lakini ukizidi sana ni maradhi, una haki ya kufikiri hivyo ulivyofikiri......Lakini ungepanua fikra kidogo zaidi ya hapo usingepata huo wasiwasi,nimetangaza hadharani na namba ya simu nimetoa na picha za items nimeweka,sidhani kama mwenye mali ya wizi anaweza kuwa na ushujaa huo.Anyway nauza mali yangu halali na upaswi kutamani kama unapesa na moyo wako uko huru karibu tufanye biashara,mengine nachukulia kama changamoto kutoka kwa mteja.
 
Mtumishi wa Bwana Nalonga
Naiwekama ulivyoomba
Nendaukatende kazi ya Bwana
 
Mkuu nimevutiwa na 1TB hard disk, unaweza kunijuza ni brand gani na series zilizomo kwa uchache, make huo ndo ugonjwa wangu.
Kiongozi Lugovoy harddisk ni 1TB HITACHI SATA (DESKTOP ) na inshu ya movie ni jst offer vile sitokuwa na haja ya kudelete or kuformat wakati najua kuna watu ambao nao ni movies addict kama mimi...hivyo sioni haja kutaja hizo movie ili nikuempress ununue harddisk maana naweza nikakupatia movies hata kama uhitaji hard disk ni issue ya mawasiliano na muda...but sio mbaya humu kuna City Hunters,Heirs,Goong,Nikita,24,Mad men,Merlin,Personal of Interest.....kwa ufupi yamejaaa mamovie mengi....Karibu.
 
Mkuu umeongea vyema nilitaka kujua baadhi ya vitu vipya nitavyokuta huko ndani, ngoja nikufate pm kwa mchakato zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom