Ninahitaji starlet au vitz iliyo kwenye hali nzuri, nina milioni 4

Acha dharau.....kama huwezi kunisaidia kaa kimya......coz am serious
 
E52, jamaa hatanii ingawa anaweza akawa sio serious sana; ila ukweli ni kuwa magari yamependa sana mkuu yaani nafika showrooms unakuta bei za juu ajabu.sio siri kama hali itaendelea hivi ni hatari sana..duh
 
Nashukuru mliotoa ushauri, ila shida yangu ni starlet au vitz ya milioni 4 na sio bei ya bajaj.....samahani waosha vinywa.....hopeful atajitokeza mzalendo wakunisaidia
 
nakushauri tembelea kwenye tradercarview.com jamaa wanauza magari then very cheap may be unaweza ku import badala ya kununua bongo or unaweza kutembelea pande za zenji magari pia yapo cheap unaweza pata
 
Nashukuru mliotoa ushauri, ila shida yangu ni starlet au vitz ya milioni 4 na sio bei ya bajaj.....samahani waosha vinywa.....hopeful atajitokeza mzalendo wakunisaidia
Wewe pia unadharau kwa kuwaita wadau waosha vinywa.
Ila kimsingi pesa uliyonayo ni ndogo ,kuna jamaa alikuwa anauza starlet for 4M(thread nimeikosa ilikuwepo humu pia zoom) ila kuna starlet 6.5M, Corolla 2M Check zoomtanzania.com. A160 5M 1996 Mercedes-Benz A class For Sale in Dar Es Salaam Tanzania | Classified,
Nawakilisha.
 
Nashukuru mliotoa ushauri, ila shida yangu ni starlet au vitz ya milioni 4 na sio bei ya bajaj.....samahani waosha vinywa.....hopeful atajitokeza mzalendo wakunisaidia
<br />
<br />
Mkuu kuna watu humu kazi yao kuvunja mioyo wenzao na kuwakejeli,achana nao utapata tu gari mkuu.
 
mkali vuka uje zenji tukutafutie gari zipo mpaka za 3m kwaiyo pesa utapata.tutafutane
 
Nashukuru wadau kwa ushauri wenu.....ila kuhusu zenji sijajua kama ukileta bongo ushuru unakuwaje ?
 
Nashukuru wadau kwa ushauri wenu.....ila kuhusu zenji sijajua kama ukileta bongo ushuru unakuwaje ?
Labda ujafafanuwa vizuri, hiyo millioni 4 unataka gari iliyotumiwa na mtu au kutoka show room? kama iliyotumiwa na mtu unapata na unipm nikuoneshe gari, lakini kama ni iliyopo show room hizo zitakuwa ni ndoto za mchana, hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom