teh teh teh. Jamaa amesahau kuwa jamaa wameamua kurudisha hadhi ya magari kwenye enzi zileeeeeeeeeee, yaani ukiwa na gari maana yake una fedha.Kwa bei hiyo labda Bajaji
Mkuu bajaj ni 4.8 kwenda mbele sasa hivi.bajaji yenyewe ni 4.5M hadi 5...M labda kama unataka mkweche utapata hata wa 2M
Wewe pia unadharau kwa kuwaita wadau waosha vinywa.Nashukuru mliotoa ushauri, ila shida yangu ni starlet au vitz ya milioni 4 na sio bei ya bajaj.....samahani waosha vinywa.....hopeful atajitokeza mzalendo wakunisaidia
<br />gari utapata Njoo nkupe Cresta Mark 2 kali
<br />Nashukuru mliotoa ushauri, ila shida yangu ni starlet au vitz ya milioni 4 na sio bei ya bajaj.....samahani waosha vinywa.....hopeful atajitokeza mzalendo wakunisaidia
<br />
<br />
Mkuu kuna watu humu kazi yao kuvunja mioyo wenzao na kuwakejeli,achana nao utapata tu gari mkuu.
mnamkatisha tamaa mbn kuna gari hadi za 2m na kali tu?hakuna mtu anayemkejeli peasa yake ndogo then analeta mashauzii, mbona hata bure anaweza pata!
Labda ujafafanuwa vizuri, hiyo millioni 4 unataka gari iliyotumiwa na mtu au kutoka show room? kama iliyotumiwa na mtu unapata na unipm nikuoneshe gari, lakini kama ni iliyopo show room hizo zitakuwa ni ndoto za mchana, hakuna kitu kama hicho.Nashukuru wadau kwa ushauri wenu.....ila kuhusu zenji sijajua kama ukileta bongo ushuru unakuwaje ?