Ninahitaji kuunganishwa na mtu yeyote ambaye anasoma/amesoma chuo chochote cha veta dar ambacho ni cha mtu binafsi (private)

42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,291
2,000
Angalau hicho chuo kiwe kinatoa kozi mojawapo inayohusiana na magari. Kiwe ni chuo cha private. Nasisitiza.

Kama una mtu wa aina hiyo au ni wewe, please naomba tuwasiliane. Nina shida ya muhimu sana.

Nitumie ujumbe 0685 895 742 au Njoo PM
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom