TEMBELEENI HII ILANI YA CCM, KWENYE UTANGULIZI KIPENGELE CHA PILI MSTARI WA MWISHO UNASOMEKA
"Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya karne ya ishirini ya dunia na ya nchi."
Hivi kweli hiyo ilani imeandaliwa, imepitiwa mpaka imeidhinishwa na ikatumiwa hawakuona hiyo kasoro? naamini hawakukosea ila wapo karne hyo na wanatuongoza kutupa maendeleo ya karne ya 20.
Naiambatanisha kama evidence msiseme nachakachua, chadema hatuchakachui........http://www.cms.ccmtz.org/doc/ilani.pdf