Elections 2010 Ninahitaji kuongozwa na ccm yenye ilani inayoonesha tupo karne ya 20?

werema01

Member
Feb 10, 2010
47
0
TEMBELEENI HII ILANI YA CCM, KWENYE UTANGULIZI KIPENGELE CHA PILI MSTARI WA MWISHO UNASOMEKA

"Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya karne ya ishirini ya dunia na ya nchi."

Hivi kweli hiyo ilani imeandaliwa, imepitiwa mpaka imeidhinishwa na ikatumiwa hawakuona hiyo kasoro? naamini hawakukosea ila wapo karne hyo na wanatuongoza kutupa maendeleo ya karne ya 20.

Naiambatanisha kama evidence msiseme nachakachua, chadema hatuchakachui........http://www.cms.ccmtz.org/doc/ilani.pdf
 
Umemaliza kaka!!Hawa jamaa hawako makini the same na NEC,Haki haipotei huwa inacheleweshwa tu!!
 
Umemaliza kaka ( MBONA NDIO TUMEANZA SAFARI YA 2010-2015 ) !!Hawa jamaa (NA WEWE UMO CCM INAKUTAWALA ) hawako makini (MBONA WEWE NDIO SIO MAKINI RUDIA KUSOMA TENA NA TENA ) the same na NEC (TUME HURU NA HAKI YA UCHAGUZI ) ,Haki haipotei ( HAKI IPI KAMA UCHAGUZI MMESHINDWA) huwa inacheleweshwa tu ( NANI KAKUAMBIA , ACHA DHANA. NENDA NYUMBANI KALALE HUNA JIPYA)
 
Back
Top Bottom