Ninahitaji kuibadilisha ghorofa iwe kwenye units property

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
523
525
Nina nyumba ya ghorofa nne eneo la mjini. Ninahitaji kuibadilisha iwe kwenye units property ili niweze kuuza baadhi ya units na zingine kupangisha.

Wenye utalaam wa kisheria juu ya hili mnisaidie.
 
Nitafute P. M... Unit title / condominium property ni bado ngeni miongoni mwa watanzania
 
Back
Top Bottom