Ninahitaji kazi yoyote Iringa,au sehemu yoyote tanzania

Nilizani KE
Mimi nahitaji KE tu kwa ajili ya kazi za Ndani asizidi miaka 22 na awe hana Boyfriend.

Kazi Zake:
1) Kunipikia
2) Kunifulia nguo zangu
3) Kunyoosha Nguo kwa pasi
4) Kufanya Usafi wa Nyumbani

NOTE: Sina Mke wala Girlfriend
 
Nilizani KE
Mimi nahitaji KE tu kwa ajili ya kazi za Ndani asizidi miaka 22 na awe hana Boyfriend.

Kazi Zake:
1) Kunipikia
2) Kunifulia nguo zangu
3) Kunyoosha Nguo kwa pasi
4) Kufanya Usafi wa Nyumbani

NOTE: Sina Mke wala Girlfriend
Kipengele cha mwisho kimejieleza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom