Ninahitaji harrier second generation nibadilishane na rava 4 kili time

Saimon Philip

Member
Feb 23, 2012
55
17
Wakuu habari za jioni?
Mimi nina rava 4 kili time rangi ya silver number DLN 1zz ingene cc 1794 mpya kabisa nataka kubadilishana na mwenye harrier new model(second generation)kunzia mwaka2003 hadi 2009 no D na kuendelea hata ikiwa show room iwe cc 2400 rangi nyeusi au silver au dark blue.
Mwenye kuitaji aje PM kwa maelezo zaidi au no yangu 0735189941

IMG_20180828_181719.jpg
IMG_20180828_181951.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah mkuu siye wengne hata guta hatuna. Wewe unataka hybrid (cjui ndy hyo) haya bana ngoja na siye tujikongoje next 2 yrs tutaomba exchange.

Jarbu kuwacheki watu wa yadi pia huwa wanakubali kubadili ila kama kwao ina maslahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMMhh unakuja kulia, harrier unyosema inakunywa mafuta kama jini. Lakini pia kuna kaugojwa sugu kwenye hayo magari. RAV 4 nimekaa kama hiyo nimekaa nayo 3 years service kubwa ni kumwaga mafuta tu hakuna acha spanner wala makorokocho ya ufundi.
Think twice men!
 
Kama huna sababu ya msingi saaana, kaa nalo tu ilo ilo. Ni gari zuri.
 
Inakunywa mafuta kama jini ndio kiasi gani mkuu kulinganisha na Rav 4?

Haya ina kaugonjwa fulani..ndio kaugonjwa gani?

Back
Top Bottom