ninahisi nina mimba, je naweza kuendelea kumnyonyesha mtoto wa miezi 8 ambaye ninae?

binti ashura

Senior Member
Jan 14, 2011
118
19
Ndugu Nahisi nina mimba ambayo hata mwezi haijatimiza ikiwa nina mtoto wa miezi 8 sasa je naweza kuendelea kumnyonyesha huyu mtoto au nimuachishe?. nauliza kama anaweza kupata madhara.
Natanguliza shukurani!
 
Unaweza kuendelea ili mradi ule vizuri (well balanced diet) na kunywa vizuri ili uwe na nutrients za kuwatosha wote.
 
Ndugu zangu nawashukuru sana kwa ushauli mlionipa jana, Pia namshukuru Mungu kwa kunitoa hofu siku ya jana jioni!. jana jioni wekundu wa msimbazi waliingia uwanjani. nilihofu kwakuwa zilipita siku kadhaa bila kuwaona kitu ambacho siyo kawaida yangu. Hii inatokana na mimi kutumia kalenda kupanga uzazi nikahisi huenda nimekosea kumbe ratiba tu ndiyoiliyobadilika! asanteni sana!.
 
Shemeji mtoto ana miezi miwili tu mmeshaanza kukamuaa?!!...dah kweli mna machungu!
Ah, sorry skusoma vizuri bana, kumbe miezi8!...mnisamehe bana!
 
Back
Top Bottom