Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

images(26).jpeg
 
Umemalert usingeendea jambo hivyo, ulipaswa ungeweka mipango dhabiti ili kuhakikisha unamkamata na anakubali ame cheat, then unamuacha.

Mwanamke ambae huwa nampenda sana , siku akinifanyia kitu cha kuniumiza, huwa naumia sana ni bora hata adui yangu angenifanyia, nikishaondoka ndio imetoka hio, hairudi, kwanza huwa wanakula block, halafu huwa namdharau mno kiasi kwamba hata kesho nimkute na mwanaume hanistui.

Nakushauri, atakusumbua mkuu, move on, huyo si mwaminifu, angekuletea hata mwana si wako. Huwa tunaomba mungu atupe mke mwema lakini mungu amekuonyesha huyo si mwema, imagine huyo dalali asingesema hilo jambo, ungekuwa unatafuniwa daily.
 
Jiridhishe kwa ulichokigundua upate uhakika ndipo ufanye maamuzi.. !

Una uhakika mtoto ni wakwako?
 
Swala la mtoto sina mashaka mkuu...
Nimekupata vyema!

Kama alishafanya usaliti .. ni rahisi kurudia tena , unless ujifanye haujui kuwa alikusaliti kuliko ujuwe halafu umwambie umemsamehe!
 
Sisemi hajacheat.

Ila mtazamo wangu ni huenda kweli ametafuta mtu wa kuzugia tu ili kuweza kupata chumba kirahisi(kama unajua harakati za udalali na wenye nyumba).

Ila hata kama hakucheat shida kubwa ipo pia. Mpk mwanamke anaweza kufanya hivo alivyofanya na hata hajakushirikisha that's a red flag
 
Mimi Sisyphus leo, nimeliona joto la jiwe ... mtu nilimuamini ameanza rasmi kuonyesha MAKUCHA yake ... ni miaka minne sasa niko na huyo mwanamke, ni muda mrefu sasa mwenzangu alikua anaomba ndoa mara nyingi sana..nimejaribu kumuelewesha asubiri tujipange kwanza (na najipanga kweli sio uhuni) .. maana tushamleta na mtu duniani, naona sasa muda wa uvimilivu wake umaenza kufika kikomo .... story inaanzia kati, leo ]
Jiridhishe kwanza
 
Back
Top Bottom