ninafurahia ukosefu wa umeme na mafuta. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ninafurahia ukosefu wa umeme na mafuta.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Aug 10, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Unajua tunaposema CCM haifai wakati wa kampeni unakuta watu wanapinga, tukisema Rais kikwete hafai watu wanapinga, tukisema mawizi wa Kikwete hawafai watu wanapinga.

  Sasa hivi napumuzika kupiga kelele nawaacha muyaone wenyewe halafu 2015 ntawauliza tuendelee ama tusiendelee??.huu mwaka tu kuisha magamba wote watakua wamenyosha mikono. Kusoma hamjui hata picha hamuoni?

  Na bado haya ni manyunyu. mia
   
 2. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  du 2011 mbali sana kuna mijitu kama mabata au kuku haichelewi kusahau. Labda uchaguz ungekua mwaka huu. Na hata ungekua mwaka huu siweki gurantee kwa hawa watu wetu. Nahc walirogwa kuipenda ccm.
   
Loading...