cosM
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 194
- 124
Habari wakuu. Natumaini mpo poa kabisa.
Ebana kadri siku zinavyokwenda watanzania waliowengi wanaanza kuzoea utawala wa sheria na haki sawa. Hili linajidhihirisha katika mambo mengi sana kuanzia ngazi kubwa za kitaifa, Wizara, taasisi za umma na pia mashirika binafsi.
Kitu kimoja nilichoshuhudia jana wakati tuna panda basi liendalo haraka. Wakati tunakata tiketi tukiwa kwenye foleni ndefu mtu katokea nyuma bila kupanga mstari moja kwa moja kaelekea kaunta kukata tiketi. Watu hawakukaa kimya walimsitisha na kumwambia arudi nyuma apange foleni.
Kitu walichokua wanaongea "sasa hivi tupo kwenye utawala wa haki sawa na kufuata sheria" mambo ya kujuana juana au tips hayapo tena. Nilishuhudia watu wakiongea bila uoga.
Hii inamaanisha utawala wa Magufuli unaingia kwenye minds za watu na wengi wetu sasa hivi akiona mtu anafanya kosa la aina yoyote watu wanasema mara moja sio kama zamani watu walikua wanaogopa kisa huyu ana cheo flani, huyu ni Tajiri n.k. Kwa ufupi sasa hivi hakuna yale maswala 'nitakuonesha mimi ni nani'.
Asante Utawala wa Sheria na haki.
Nawasilisha.
My take: Tii sheria bila shuruti. Hii itasaidia kuongeza usawa katika jamii yetu.
CosM