Ninafanya mazoezi je no vyakula gani vya kutumia ili kujaza misuli ya kifua na mikono

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Wakuu Kama kichwa Cha habar kinavyojieleza nahitaji niwe na body ninafanya mazoezi je Nile nn ili nijaze misuli
 
Kama huna utulivu wa moyo hata unyanyue nyumba mbili huku na huku mwili hutauona,unanyanyua vyuma huku ukiwaza ile 10K yako uliyoipata itakutosha kula ugali samaki na juice na nauli kesho?

Hapo mwili utaupata vipi,tafuta kwanza hela ili ukitoka gym ukiamua kula mbuzi unakula ukiamua kula samaki unakula yaani unapata kitu roho inapenda sometimes unaweza jisikia kutokula ila unajisikia uko vizuri.
 
hakikisha huna stress..kula mimboga ya majani..misupu..mfani kongoro ..samaki..maji kunywa sana...cabs kwa wingi..protini ndo izidi sana..lazima ukipga vyuma ujae..n.b..ukienda gym vaa sweta ata kama joto ni kali
 
Kama unataka kujazia sana kuna vyakula maalum vya makopo,ni unga hivi,japo sikushauri ksbb nahisi vina machemical kibao,ila ndio unaboost. Huo unga unapatikana kwenye masuper market ya vyakula nafikiri. Mimi nimejazia japo sio sana,ksbb sipendi kuwa much. Lakini vyakula ninavyotumia ni vya kawaida tu. Asubuhi supu ya samaki na mihogo,siku nisipofanya mazoezi asubuhi nakula matunda mchanganyiko,papai,tikit,parachichi hivyo lazima viwepo. Mchana wali au ugali+samaki+mboga za majani zimeungwa karanga. Usiku lazima matunda mengi sinia zima nafuta taratibu. Lakini mazoezi yangu sitaki kuongezea kitu cha ziada kuboost. Nataka niwe asili tu. Ningekushauri pia fanya mazoezi tu ndio yakupe matokea,ukijituma sana kila siku utatanuka tu,huku ukila vyakula vya kawaida. Usile saaaana,utakuwa na tumbo kubwa
 
  • Thanks
Reactions: Ccc
Vipi msuli wa tako hushughuliki nao?,nataka nikushauri misosi gani upige kuimarisha msuli wa kalio
 
Back
Top Bottom