Ninaenjoy sana jinsi ninavyoishi na mwanamke wangu, naona maisha mepesi

Lengo lako ni lipi sasa utujuze raha unazopata au unavyotoa matumizi ??

Kweli hujui kuandika vizuri kama.ulivyosema mwenyewe!
 
Uongo mwingine bhana!Eti mwalimu amuwekee mpenzi wake laki sita kila mwenzi na yeye abaki na hela ya kufanya mambo mengine! Mwalimu idara gani? Tgts gani?Ukinijibu hapa...
 
Back
Top Bottom