Ninaenjoy sana jinsi ninavyoishi na mwanamke wangu, naona maisha mepesi

Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.

ungekutana na wadada wa mjini huo mshahara wote ungekuwa unaingia kwake kwanza then yeye ndo anakumegea ww
 
Umesema ni mpole anaogopa kuomba hela?, Ok.

Ogopa mwanamke ambaye hajakuzoea. Huyo kuliwa nje ni dakika 0, akitokea mhuni mmoja akampeleka kihuni wakazoeana jua ataliwa kimasihara, ushuhuda upelekwe kwenye ule uzi pendwa.
 
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.
Juzi kanihonga laki 2. We endelea kumwekea laki 6, mimi napewa laki 2 kila mwezi.

Moto humpi. Pesa siyo ndiyo kila kitu kwa mwanamke.
 
Asikutane tu na shetani mtu akapangua gia.
Wanaanzaga ivo. cheupe kinapendwa wewe acha kabisa.
hata kuroga watu huroga tuu! Ili wampate mweupe. Heee!!

Utaja lia wewe km mtoto. Siku isokuwa tarehe
 
Ndugu yangu yaani unasema mmekutana na binti mwanzoni mwa mwaka huu (ina maana ni January 2021) na mpaka leo ni februari 2021 na kiserikali ina maana kuna mshahara mmoja tu umempatia. Kama sio chai, nakushauri tuliza akili na umpe muda huyo mpenzi wako

Mtu hata hujafikisha miezi miwili ya uhusiano unaanza kumwaga sifa lukuki. Tulia kwanza ipite hata masika moja ndipo uje na tathmini kamili la sivyo utakuja na thread nyingine ya malalamiko muda si mrefu
 
Twende kiufupi, sio muandikaji mzuri lakini nahisi nitaeleweka.

Mwanzoni mwa mwaka huu niliweza kubahatika kupata mwanamke mzuri sana, anaejiheshimu, mtoto mweupe hana hata kovu, na kwaninavyomtunza unaweza ukasema muarabu au mtu kutoka huko pande za Mashariki ya mbali.

Sasa huyu binti nimekua nikimuhudumia, hela ya kula, na mahitaji mengine ya kwake maana kwasasa naishi nae kama nimeoa, ule usumbufu wa kuombwa ombwa pesa za matumizi ya nyumbani pamoja na matumizi yake binafsi hua namuweka kwenye wakati mgumu maana ni muoga sana wa kuomba pesa hata kama anashida, ni mtaratibu na mwenye aibu sana.

Sasa mimi kama mwanaume nikaamua ili nisimpe taabu ya kuniomba omba hela kila mara, nimeamua niwe namuwekea shilingi laki 6 kwenye account yake kila mwezi, ili tu asipate taabu ya kuomba omba hela mara kwa mara, namimi hua sijawahi kumuangusha ikifika tuu tarehe za mishahara ya walimu kuanzia tarehe 26 basi hua nampatia laki 6 zake namtumia kwenye account yake, nahio naona imesaidia sana kwani amekua akibana matumizi na kununua baadhi ya vitu vya ndani ambavyo sikuwaza hata kuvinunua.

Kwa jinsi anavyobana matumizi na kununua vitu muhimu napanga kumuongezea niwe nampa laki8 kwa mwezi kama pesa za matumizi ya nyumbani.

Ndugu zangu tuwe tunatoa pesa ya matumizi ya mwezi mzima ili kuepuka usumbufu wa hapa na pale.
Uandishi wako kama wa Kidukulilo...
 
Duh ndo shida yetu wabongo.
 
atiiiii umesema ni mweupe kama niniiii
 
Wa

Wavulana jamani mnachekesha atuuu! Mie nilifikiri umemuoa na kukamirisha taratibu zote za mke, kumbe unaishi naye kihunj tu!
Subiria bomu very soon atakupa kadi ya harusi...alafu uje na uzi mwingine! Upimbi mwingine bana!
Wanaume tunaoa kwa kufuata taratibu zote kwanza na baada ya kuweza kuishi na wake zetu miongo kadhaa ndio tunaweza sema tumefanikiwa! Eboooh!
 
Back
Top Bottom